IQNA-Watu wanne wamejeruhiwa baada ya polisi nchini Nigeria kuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakiandamana Ijumaa ya leo katika mji mkuu Abuja.
Habari ID: 3470651 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/04
IQNA-Binti Muirani mwenye umri wa miaka 9, Hannaneh Khalfi yuko katika Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE (Imarati) kushiriki mashindano ya Qur’ani ya wanawake.
Habari ID: 3470650 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/04
Kwa munasaba wa kutekwa Pango la Ujasusi (Ubalozi wa Marekani)
IQNA-Wananchi wa matabaka mbali mbali Iran kuonyesha dhidi ya madola ya Kiistikbari hasa Marekani huku wakitoa nara za 'Mauti kwa Marekani'.
Habari ID: 3470649 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/03
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa moyo na fikra za kimapinduzi, ushujaa, ujasiri na uchapakazi, kuona mbali, ubunifu, kuwa na matarajio ya mustakbali mwema, kutoogopa na kutosalimu amri mbele ya adui vitatatua matatizo ya nchi hii.
Habari ID: 3470648 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/02
IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeazimiakuimarisha uhusiano wake wa kidini na Ghana.
Habari ID: 3470647 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/02
IQNA-Serikali ya Misri imewapiga marufuku wahubiri wa Kiwahhabi kuhutubu hotuba katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3470643 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30
Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imekanusha madai ya Saudia kuwa imeshambulia msikiti wa Makkah.
Habari ID: 3470642 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30