iqna

IQNA

IQNA-Kongamano la Sita la Kimataifa la Qur'ani Tukufu limefunguliwa Disemba 3 katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Abdul Qadir katika mji wa Constantine nchini Algeria.
Habari ID: 3470718    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/05

IQNA: Bilionea Mzayuni anayefadhili cha Democrat nchini Marekani anapinga kuteuliwa mjumbe Mwislamu katika Bunge la Kongresi kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya chama hicho.
Habari ID: 3470717    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/05

Uchunguzi wa Maoni
IQNA: Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa Waislamu wengi Uingereza wanaamini kuwa serikali ya Marekani ndiyo iliyotekeleza hujuma za kigaidi nchini humo Septemba 11, 2001.
Habari ID: 3470715    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/04

IQNA: Serikali ya Kenya imeazimia kukabiliana na Madrassah zenye misimamo mikali ya kidini hasa katika eneo linalopakana na Somalia kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470714    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/04

IQNA-Mufti Mkuu wa Syria Sheikh Badreddin Hassoun amesema baadhi ya vituo vinavyojiita kuwa vya Kiislamu barani Ulaya vinaunga mkono kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470713    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/03

IQNA-Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani yamefanyika mapema wiki hii visiwani Zanzibar nchini Tanzania.
Habari ID: 3470712    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/03

IQNA-Mkutano wa kitaifa wa Umoja wa Kiislamu umefanyika kwa mara ya kwanza nchini Guinea Conakry.
Habari ID: 3470711    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/03

IQNA-Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan yuko nchini Myanmar kuchunguza ukatili wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
Habari ID: 3470710    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/02

IQNA-Serikali ya Nigeria imeiamuriwa na mahakama kumuachilia huru mara moja Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3470709    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/02

IQNA-Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni nchini Tanzania wameshiriki katika matembezi ya pamoja kisha wakaswali sala ya Jamaa kwa munasaba wa kukumbuka kuaga dunia Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3470708    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/01

Tuko katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar, siku ambayo ni kumbukumbu ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha AS mmoja kati ya watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Mtukufu Muhammad SAW.
Habari ID: 3470706    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/30

IQNA-Qatar imeandaa mashindano maalumu ya Qur'ani ya walioshika nafasi za kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qurani dunaini.
Habari ID: 3470705    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/29

IQNA-Viongozi wa jamii ya Waislamu Marekani wamelaani vikali hujuma ya kigaidi katika jimbo la Ohio, ambapo mwanafunzi mmoja wa Marekani mwenye asili ya Somalia aliwashambulia kwa kisu wanachuo wenzake.
Habari ID: 3470704    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/29

IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku na leo imeghariki kwenye huzuni na majonzi kwa kukumbuka siku aliyoaga dunia Bwana Mtume Muhammad SAW na aliyokufa shahidi Imam Hassan Al-Mujtaba AS.
Habari ID: 3470703    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/28

Kongamano la Kimataifa la “Umoja wa Kiislamu, Dharura na Changamoto katika Mustakabali” linafanyika nchini Indonesia.
Habari ID: 3470702    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/28

IQNA-Mwezi 28 Mfunguo Tano Safar, inasadifiana na siku ya kukumbuka alipofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3470701    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisistiza kuwa makundi yatendayo jinai ya kitakfiri, kwa mara nyingine yametekeleza hujuma kwa woga na kwa njia ya kuogofya na hivyo kuonyesha uso wao khabithi na wa kishetani kwa wote
Habari ID: 3470700    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/26

IQNA-Mwandishi habari wa kike huko Toronto amekuwa wa kwanza kusoma habari akiwa amevaa vazi la Kiislamu la Hijabu.
Habari ID: 3470699    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/26

UNHCR
IQNA- Afisa wa Umoja wa Mataifa amesemajeshi la Myanmar linabeba dhima ya kampeni ya mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Rohingya.
Habari ID: 3470698    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/25

IQNA: Mcheza filamu mashuhuri wa Marekani Morgan Freeman amesema adhana ni kati ya sauti bora zaidi duniani alizowahi kusikia.
Habari ID: 3470697    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/25