niqabu

IQNA

IQNA-Serikali ya Austria imechukua hatua ya kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa aina ya hijabu inayofunIka uso wote, maarufu kama niqabu, katika maeneo yote ya umma nchini humo.
Habari ID: 3470825   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/31