IQNA – Miaka mitano baada ya washiriki wanne wa familia moja ya Kiislamu kuuawa kwa kugongwa makusudi na gari katika kitendo ambacho jaji amekitaja kuwa ni cha kigaidi, wanajamii katika mji wa London, Ontario nchini Kanada, wamekusanyika kuwakumbuka wahanga hao na kusisitiza upya ahadi yao ya kupambana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3482332 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/07
IQNA – Miaka mitano baada ya mwanaume mmoja kuendesha kwa makusudi gari aina ya pickup na kuigonga familia ya Kiislamu iliyokuwa ikitembea kwa miguu mjini London, katika jimbo la Ontario, Kanada, na kuwaua watu wanne, kundi la kitaifa la utetezi wa haki za Waislamu limesema kuwa serikali ya shirikisho imeshindwa kutekeleza mapendekezo muhimu ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3482323 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/05
TEHRAN (IQNA)-Jengo la Kanisa la St. James Presbyterian mjini Ontario nchini Canada limebadilishwa na kuwa msikiti baada ya kununuliwa na Waislamu.
Habari ID: 3473674 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/22
TEHRAN (IQNA)-Watu wanaouuchukia Uislamu (Islamophobes) wameandamana na kuvunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu huko Ontario, Canada mapema wiki hii.
Habari ID: 3470906 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/25