TEHRAN (IQNA) - Kila msikiti katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaruhusiwa kuwa na asilimia 50 ya waumini wanaoweza kuswali ndani yake kuanzia Jumatatu Agosti 3.
Habari ID: 3472993 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/24
TEHRAN (IQNA) –Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umetangaza kufungua misikiti kuanzia Julai Mosi baada ya kufungwa miezi mitatu ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472915 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30
TEHRAN (IQNA) – Baraza la Fatwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) limetoa Fatwa kuhusu Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wakati wa janga la corona au COVID-19.
Habari ID: 3472684 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/20
TEHRAN (IQNA) – Misikiti yote katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) itaendelea kufungwa kwa mauda usiojulikana ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472651 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/10
TEHRAN (IQNA) – Mafunzo ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yatafanyika kwa njia ya intaneti baada ya misikiti na vituo vya Kiislamu kufungwa nchini humo kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472575 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/17
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Zawadi ya Al Qasimia katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yameakhirishwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona.
Habari ID: 3472567 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/15
Hofu ya kirusi cha Corona
TEHRAN (IQNA)- Hotuba za sala ya Ijumaa katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) leo hazikupindukia dakika 10 kufuatia amri ya Idara ya Masuala ya Kiislamu na Wakfu nchini humo.
Habari ID: 3472538 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/06
TEHRAN (IQNA) - Msichana kutoka katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ametimiza ndoto yake ya kujenga msikiti katika nchi masikini.
Habari ID: 3472465 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/12
TEHRAN (IQNA) –Maelfu ya wanafunzi wamejisajili katika masomo ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3472413 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/28
TEHRAN (IQNA) – Kitivo cha Qur'ani Tukufu kimefunguliwa katika Chuo Kikuu cha Al Qasimia huko Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3472277 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/14
TEHRAN (IQNA) – Mwanaanga wa kwanza wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kufika katika anga za mbali amesema atabeba nakala ya Qur'ani katika safari yake hiyo ya kihistoria.
Habari ID: 3472104 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/28
TEHRAN (IQNA)- Maisan Yahya Muhammad, ni binti wa miaka sita ambaye kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambaye amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3472020 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/28
TEHRAN (IQNA)-Fainali ya Mashindano ya 22 ya Qur'ani ya Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yameanza mjini humo Ijumaa.
Habari ID: 3471819 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/26
TEHRAN (IQNA)- Awamu ya tatu ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3471730 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/05
TEHRAN (IQNA) - Wanaakiolojia huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) wamegundua msikiti unaokadiriwa kuwa uliojengwa miaka 1,000 iliyopita katika eneo unakojengwa Msikiti Mkuu wa Sheikh Khalifa mjini Al Ain karibu na mpaka wa nchi hiyo na Oman.
Habari ID: 3471663 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/08
TEHRAN (IQNA)- Duru ya 7 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani maalumu kwa walemavu yamepangwa kufanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzia Mei 27-31.
Habari ID: 3471532 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/26
TEHRAN (IQNA)- Taasisi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeandaa mashindano ya Tarteel ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani maalumu kwa waliosilimu.
Habari ID: 3471514 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/15
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Ansarullah ya Yemen imevurumisha kwa mafanikio kombora la Cruz na kulenga Abu-Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ikiwa ni jibu kwa jinai UAE dhidi ya watu wa Yemen
Habari ID: 3471293 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/03
TEHRAN (IQNA)-Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamelaani matamshi ya afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambaye amezitaka nchi za Ulaya ziwe na udhibiti katika misikiti ili kuzuia hujuma za “kigaidi”.
Habari ID: 3471267 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/17
TEHRAN (IQNA)-Msichana mwenye umri wa miaka 10 ataiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Shaikha Fatima Bint Mubarak ya Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE.
Habari ID: 3471198 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/29