Iran na Afrika
TEHRAN(IQNA)-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran.
Habari ID: 3475680 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/25
Njama za Adui
TEHRAN (IQNA)- Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametahadharisha kuwa, stratejia hatari zaidi ambayo adui ameamua kutumia ni vita vya kinafsi na kisaikolojia.
Habari ID: 3475661 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/22
Uuungaji mkono Palestina
IQNA (TEHRAN )- Wananchi wa Iran jana Jumanne walifanya maandamano katika mji mkuu Tehran kulaani jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua shahidi wanawake na watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3475605 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/10
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
Habari ID: 3475593 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/08
Rais wa Iran katika mkutano na mkuu wa Jihadul-Islami
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi amesema, leo wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni na wanaamini kuwa Muqawama na au mapambano ya Kiislamu ndio njia kuu na ya msingi ya kukabiliana na utawala huo.
Habari ID: 3475582 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/05
TEHRAN (IQNA)- Siku ya kwanza ya tamthilia ya kimataifa Taaziya imefanyika mjini Tehran katika medani ya Imam Hussein AS huku kukiwa na makundi ya wanatamthilia kutoka Nigeria na mji wa Isfahan, kati mwa Iran.
Habari ID: 3475551 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/28
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia wa Iran amesisitiza ulizamia wa kuwepo ushirikiano wa karibu kati ya nchi za Waislamu kukabiliana na matukio ya chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia na kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu duniani.
Habari ID: 3475524 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/22
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza ulazima wa kulindwa ardhi yote ya Syria na kusema: Shambulio lolote la kijeshi katika eneo la kaskazini mwa Syria litazidhuru Uturuki, Syria na eneo zima na Asia Magharibi na kuwanufaisha magaidi.
Habari ID: 3475517 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/19
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Ofisi ya Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Hija imeandaa mahafali za qiraa ya Qur’ani Tukufu katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3475513 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Marais wa Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Iran (IRCS) na Mamlaka ya Hilali Nyekundu ya Saudia wamekutana mjini Mina mkoani Makka Jumapili, kujadili ushirikiano wa pande mbili.
Habari ID: 3475487 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/11
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejiunga na wenzaoi duniani leo kuadhimisha sikukuu ya Idul Adha sambamba na Mahujaji wanaokamilisha ibada ya Hija katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3475485 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/10
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Wasimamizi wa Hija nchini Iran wamekutana na wenzao wa Russia mjini Makka na kufanya mazungumzo kuhusu njia za kuongeza ushirikiano wa pande mbili.
Habari ID: 3475464 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/05
Jinai za Marekani
TEHRAN (IQNA)- Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani haina ustahiki wa kuzungumzia suala la haki za binadamu kutokana na namna inavyokiuka kwa wingi haki za binadmau duniani.
Habari ID: 3475461 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/04
Jinai za Marekani
TEHRAN (IQNA) Tarehe 3 kila mwaka nchini Iran Julai ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kombora lililofanywa na meli ya kivita ya Marekani ya Vincennes dhidi ya ndege ya abiria ya Iran aina ya Airbus iliyokuwa ikiruka kutoka Bandar Abbas kuelekea Dubai.
Habari ID: 3475460 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/04
Umoja na Amani
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa amesema chuo hicho kinajikita katika kukurubisha madehebu za Kiislamu, umoja, mazungumzo na maelewano baina ya dini.
Habari ID: 3475452 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/02
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kikao cha Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehutubia kikao cha Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran na maafisa na wafanyakazi wa chombo hicho akisema matokeo ya kusimama kidete mbele ya maadui ni kupata ushindi na maendeleo.
Habari ID: 3475438 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/28
Hali ya Quds
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel hauna mamlaka yoyote katika mji wa Quds (Jerusalem) na kwamba Hamas itaendelea kuupigania mji huo hadi utakapokombolewa.
Habari ID: 3475435 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/28
Msomi wa Algeria
TEHRAN (IQNA) – Msomi na mwanafikra wa Qur’ani wa Algeria anasema umoja baina ya nchi za Kiislamu ni jambo la lazima na unapaswa kufikiwa katika nyanja tofauti.
Habari ID: 3475409 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, mpango wa adui ni kudhoofisha imani na matumaini na kutaka ionekane kwamba viongozi wamefika kwenye mkwamo na hawajui namna ya kuendesha nchi.
Habari ID: 3475407 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Balozi wa mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa indhari kuhusu kuongezeka vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3475406 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21