iqna

IQNA

kiswahili
Wajue watafiti wa Qur'ani /40
IQNA-Sheikh Abdullah al-Farsy, alikuwa mwanazuoni wa Kizanzibari mwenye asili ya Oman, na aliandika mojawapo ya tafsiri kamili za mwanzo za Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiswahili.
Habari ID: 3478248    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24

TEHRAN (IQNA)- Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu , Sayansi na Stamaduni UNESCO limeitangaza rasmi tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa siku ya Kiswahili Duniani.
Habari ID: 3474641    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04

TEHRAN (IQNA) – Tarjuma za Qurani Tukufu kwa lugha za Kiswahili na Kiindonesia ni kati ya vitaby vipya ambavyo vimewasilishwa katika Maoneysho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3474093    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/12

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania kimezindua Kanali ya YouTube kwa lugha ya Kiswahili kuhusu sira na fikra za Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu, muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3473973    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/02

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri ametuma ujumbe kwa lugha 15 akitaka dunia iwaunge mkono Wapalestina wanaokandamizwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473916    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/16

TEHRAN (IQNA)-Mmoja kati ya misikiti ya kale zaidi nchini Kenya uko katika hatari ya kuangamia kutokana na ongezeko la mawimbi ya bahari.
Habari ID: 3471068    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/15

Shirika la Mawasiliano na Utamaduni wa Kiislamu Iran (ICRO) limetayarisha tarjama ya Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa lugha 21 duniani.
Habari ID: 2910931    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/28

Tovuti maalumu imeundwa kwa ajili ya kusambaza barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini.
Habari ID: 2880257    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/22

Tarjama ya Kiswahili ya Nah-ul-Balagha imechapishwa kwa mara ya kwanza kwa hisani ya Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania.
Habari ID: 1424341    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/30