pakistan - Ukurasa 2

IQNA

Waislamu wanaodhulumiwa
IQNA - Kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq amelaani vikali shambulio la kigaidi nchini Pakistan lililogharimu maisha ya zaidi ya Waislamu 40 wa Kishia.
Habari ID: 3479796   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/23

Jinai dhidi ya Mashia
IQNA-Magaidi wamefyatulia risasi magari yaliyokuwa yamewabeba Waislamu wa madhehebu ya Shia katika eneo la kaskazini-magharibi mwa Pakistan siku ya Alhamisi na kuua takriban watu 38 wakiwemo wanawake na watoto huku wengine wengi wakijeruhiwa.
Habari ID: 3479787   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/21

IQNA - Mashindano ya usomaji wa Qur'ani Tukufu yalifanyika Rawalpindi, Pakistani kuwaenzi mashahidi wa muqawama.
Habari ID: 3479718   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

Jinai
IQNA - Mapigano ya hivi punde katika eneo la Parachinar, jimbo la Khyber Pakhtunkhwa nchini Pakistan, yamesababisha vifo vya watu 31 na kuwaacha takriban 70 kujeruhiwa.
Habari ID: 3479504   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/28

Harakati za Qur'ani
IQNA - Mwanazuoni wa Pakistan amezungumza kuhusu nafasi ambayo mafundisho ya Qur'ani Tukufu yanaweza kuchukua katika kukabiliana na mfadhaiko na wasiwasi.
Habari ID: 3479236   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/06

Qurani Tukufu
IQNA - Waziri anayemaliza muda wake wa masuala ya kidini wa Pakistan amesisitiza wajibu wa kila Muislamu mwanamume na mwanamke kueneza elimu ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478454   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Taazia
IQNA – Marjaa Mkuu wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Seyed Ali al-Sistani ametoa pole kwa kifo cha Sheikh Mohsin Ali Najafi, mfasiri wa Qur'ani na mwanachuoni mwandamizi wa Pakistan.
Habari ID: 3478176   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/10

Uhusiano wa Waislamu na Wakristo
IQNA - Msikiti mmoja huko Abbottabad uliandaa sherehe ya Krismasi kwa watoto wa Kikristo, ambapo wanafunzi Waislamu wa madrassa walikabidhiwa mabegi ya shule na zawadi.
Habari ID: 3478101   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27

Kadhia ya Kashmir
IQNA - Mamlaka katika eneo linalozozaniwa la Kashmir linalotawaliwa na India haikuruhusu Sala ya Ijumaa ya jamaa kwenye Msikiti wa Jamia huko Srinagar kwa wiki ya kumi mfululizo.
Habari ID: 3478042   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16

Vita dhidi ya ugaidi
Nchi za Kiislamu zimelaani vikali mashambulizi mawili ya kigaidi ambayo yamesababisha vifo vya watu wengi nchini Pakistan.
Habari ID: 3477670   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30

Ugaidi
Takriban watu 52 wameuawa na zaidi ya watu 80 kujeruhiwa katika mlipuko katika jimbo la kusini magharibi la Balochistan nchini Pakistan, kulingana na maafisa wa eneo hilo.
Habari ID: 3477665   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29

Maelewano ya kidini
ISLAMABAD (IQNA) - Msikiti katika mji wa Jaranwala, mkoa wa Punjab wa Pakistan, ulifungua mlango wake kwa Wakristo wanaohitaji mahali pa ibada.
Habari ID: 3477474   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/21

Chuki dhidi ya Uislamu
ISLAMABAD (IQNA) - Afisa mmoja wa Pakistani alitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuhakikisha sheria dhidi ya kufuru na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu zinapitishwa katika nchi zao.
Habari ID: 3477265   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/10

Chuki dhidi ya Uislamu
ISLAMABAD (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imehimizwa kubuni mikakati ya kukabiliana na chuki inayoongezeka dhidi ya Uislamu duniani kote.
Habari ID: 3477253   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/08

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Pakistan ametoa wito wa umoja wa kimataifa dhidi ya vitendo vya kudhalilisha matakatifu ya Kiislamu.
Habari ID: 3476490   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30

Jinai dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 87 wameuawa katika shambulizi la kujilipua kwa bomu lililotokea katika msikiti wa mji wa Peshawar huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3476489   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30

Waislamu Pakistan
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Pakistan itafuatilia tarjuma za Qur'ani Tukufu zilizo katika mitandao ya kijamii nchini humo ili kuhakikisha kuwa ni shahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3476362   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06

Waislamu Pakistan
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Pakistani imetangaza kuwa ni lazima kupata Cheti cha Hakuna Pingamizi (NOC) kwa ajili ya kuagiza kutoka nje nchi Misahafu iliyochapishwa katika nchi zisizo za Kiislamu.
Habari ID: 3476255   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16

Malenga wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Maadhimisho ya miaka 145 ya kuzaliwa kwa mshairi wa Pakistani Allama Muhammad Iqbal yaliadhimishwa kote nchini humo kwa hamasa ya kitaifa siku ya Jumatano.
Habari ID: 3476066   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10

Kadhia ya Kashmir
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia mwandamizi wa Pakistan amekashifu juhudi za India za kuonyesha haki halali ya mapambano ya uhuru wa Kashmir kama aina ya ugaidi.
Habari ID: 3475646   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19