TEHRAN (IQNA)-Askari wa utawala wa kiimla na kikabila wa Saudi Arabia wametekeleza hujuma za kijeshi katika makazi ya Waislamu wa madehebu ya Shia ya mji wa Al-Awamiyah, mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471093 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/30
TEHRAN (IQNA)- Katika kuendelea ukiukaji wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia, utawala wa Aal Saud umewanyonga raia wanne wa nchi hiyo wa mji wa Qatif.
Habari ID: 3471065 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/14
TEHRAN (IQNA)-Raia 6,000 wa Kenya wanatazamiwa kushiriki katika Ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3470917 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/04
Msomi wa Uingereza afichua
IQNA: Uingereza inaiuzia Saudia kiasi kikubwa cha silaha katika kutekeleza mpango wa Wazayuni wa kuanzisha vita vikubwa dhidi ya nchi za Waislamu Mashariki ya Kati, amefichua msomi mmoja London.
Habari ID: 3470838 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/07
IQNA-Rais Omar al Bashir w Sudan ametoa madai yasiyo na msingi wowote kuwa eti Iran inaeneza madhehebu ya Shia barani Afrika.
Habari ID: 3470816 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/27
IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejibu mwaliko rasmi uliotumwa na Saudi Arabia kuhusu kushiriki katika mazungumzo kujadili kadhia kushiriki tena Wairani katika ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3470801 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/18
IQNA- Siku kama ya leo mwaka moja uliopita, utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ulimuua kikatili mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Nimr Baqir al Nimr.
Habari ID: 3470774 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/02
Ufalme Saudi Arabia umeiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kushiriki katika mazungumzo kuhusu kuwawezesha tena Wairani kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3470766 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ugaidi ni miongoni ma masaibu yanayoiumiza sana jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3470637 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/27
Kiongozi wa Harakati wa Hizbullah
Kiongozi wa Harakati wa Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema Saudi Arabia na Marekani ndio waungaji mkono wakuu wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika eneo.
Habari ID: 3470632 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/24
Saudi Arabia imeendelea kukaidi wito wa kuundwa kamati ya kimataifa ya kutafuta ukweli kuhusu jinai zilizofanywa na utawala huo dhidi ya taifa la Yemen.
Habari ID: 3470601 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/06
Wafanyakazi wa moja ya mashirika makubwa ya eneo la mashariki mwa Saudia wamefanya maandamano kulalamikia kutolipwa misharahara yao.
Habari ID: 3470586 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/29
Mufti katika kasri ya ufalme wa Saudia amesisistiza kuwa kusherehekea Maulid ya Mtume Muhammad SAW ni shirki lakini akasema ni wajibu kusherehekea maadhimisho ya kuanza kutawala ukoo wa Aal Saud.
Habari ID: 3470582 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/27
Waziri wa Mambo ya nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa jibu kwa matamshi ya kijahili na dharau yaliyotolewa hivi karibuni na mufti mkuu wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3470553 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/08
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema utawala khabithi wa ukoo wa Aal Saud haustahiki kusimamia Haram Mbili Takatifu za Waislamu.
Habari ID: 3470552 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/07
Myanmar inaendeleza sera za kuwakandamiza Waislamu wa nchi hiyo na kwa mara nyingine mwaka huu imewazuia kwenda kutekeleza ibada tukufu ya Hija Waislamu ikiwa ni mwaka wa kumi mfululizo kufanya hivyo.
Habari ID: 3470551 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/07
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, watu wa Iran kamwe hawatasahu maafa ya mauti ya kuogofya ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana.
Habari ID: 3470545 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/02
Vikosi vya usalama Saudia vimewatia mbaroni maulamaa wawili Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa katika mji mtakatiffu wa Makka.
Habari ID: 3470543 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/02
Utawala wa Saudia umetekeleza mauaji ya watoto kadhaa nchini Yemen na kuwajeruhi wengine katika mwendelezo wa jinai zake dhidi ya nchi hiyo ambayo ni jirani wake wa kusini.
Habari ID: 3470541 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/30
Wafanyakazi wa Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Mfalme Fahd nchini Saudia Arabia wameitisha mgomo kulalamikia ucheleweshwaji mishahara yao.
Habari ID: 3470518 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/12