Ndege za kivita za Saudi Arabia zimedondosha mabomu katika msikiti mwingine huko kaskazini mashariki mwa Yemen.
Habari ID: 3470511 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/09
Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali safari ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Saudi Arabia katika utawala wa Kizayuni wa Israel wiki jana.
Habari ID: 3470484 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/31
Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran
Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran amesisitiza kuhusu Diplomasia ya Hija baina ya nchi zote za Kiislamu hasa Iran na Pakistan.
Habari ID: 3470467 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/21
Wabunge Uingereza
Wabunge nchini Uingereza wameutaka utawala wa Saudia na nchi nyingine za Kiarabu zizuie matajiri wa nchi hizo kulifadhili kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470452 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/13
Maafisa wa ngazi za juu katika ufalme wa Saudi Arabia wamekuwa wakiingiza dawa za kulevya nchini humo kwa kutumia mabasi yanayowabeba mahujaji, imefichuliwa.
Habari ID: 3470436 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/06
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za kigaidi zilizojiri Jumatatu Saudi Arabia likiwemo ikiwemo karibu na Msikiti wa Mtume SAW katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3470434 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/05
Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema Saudi Arabia sasa imekuwa kizingiti kikubwa katika ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3470386 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/14
Umoja wa Mataifa umesema watoto 10,000 nchini Yemen walio chini ya umri wa miaka mitano wamepoteza maisha kutokana na sababu za kivita nchini humo.
Habari ID: 3470355 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/03
Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani hatua ya Saudia kuwazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu na kusema hatua hiyo ni kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470348 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/31
Saudi Arabia imeweka vizingiti na kuwazuia wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3470344 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/29
Molawi Abdul Hamid Ismail Zehi, Imamu wa Msikiti wa Masunii wa Makki mjini Zahedan kusini mashariki mwa Iran amesema hatua ya Saudia kuwazuia Mahujaji Wairani mwaka huu si kwa maslahi ya Umma wa Waislamu.
Habari ID: 3470330 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/23
Waandamanaji Berlin
Maandamano yamefanyika nje ya Ubalozi wa Saudi Arabia mjini Berlin, Ujerumani ambapo washiriki wameilaani Saudia kwa kuendelea kutoa misaada kwa kundi la kigaidi la Daesh au ISIS.
Habari ID: 3470314 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/15
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema Saudia inaweka vizuizi ili Wairani wasishiriki katika ibada ya Hija ya mwaka huu.
Habari ID: 3470278 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/29
Ayatullah Makarim Shirazi
Ayatullah Naser Makarim Shirazi,mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu mjini Qum nchini Iran amesema kuwa Uwahhabi uko mbali na Uislamu kwani wafuasi wa pote hilo wamepotosha Uislamu.
Habari ID: 3470232 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/07
HRW
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema Uingereza na Marekani zinashirikiana na Saudi Arabia kuten
Habari ID: 3470226 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/02
Viongozi wa utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia wamepiga marufuku kutangazwa adhana katika misikiti ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mkoa wa Al-Hasa, mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470222 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/01
Muungano unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita vya Yemen umetajwa kuwa unahusika moja kwa moja na mauaji ya raia wa nchi hiyo.
Habari ID: 3468864 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/23
Saudi Arabia na nchi kadhaa ambazo ni waungaji mkono wa wazi wa ugaidi zimeunda kile kinachodaiwa kuwa eti ni 'muungano dhidi ya ugaidi'.
Habari ID: 3464302 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/17
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeikosoa vikali Saudi Arabia kwa kuwalenga kwa makusudi watoto kupitia udondoshaji mabomu kiholela katika vita vyake dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3462043 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11
Waislamu katika eneo la Qatif Saudi Arabia Ijumaa hii wametoa wito wa kusitishwa hukumu ya kunyongwa mwanazuoni maarufu wa Kiislamu katika eneo hilo Sheikh Nimr Baqir An Nimr.
Habari ID: 3460127 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/06