iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Mke wa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi aliyeuawa kinyama mikononi mwa maajenti wa Ufalme wa Saudi Arabia huko Uturuki ameitaka Marekani iuwajibishe ufalme huo kutokana na mauaji ya kinyama ya mwandishi na mkosoaji huyo.
Habari ID: 3474373    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/02

TEHRAN (IQNA)- Ufalme wa Saudi Arabia umeandaa uchunguzi wa maoni kuhusu kupiga marufuku somo la Qur’ani katika vyuo vikuu vya nchi hiyo jambo ambalo limeibua mijadala mikali katika mitando ya kijamii.
Habari ID: 3474327    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22

TEHRAN (IQNA)- Idadi kubwa ya wananchi wa Yemen Jumanne wamefanya maandamano makubwa katika mkoa wa Saada wa kaskazini wa nchi hiyo kwa mnasaba wa maadhimisho ya tarehe 21 Septemba, siku ya mapinduzi ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474326    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Hija na Umrah Saudi Arabia imeongeza idadi ya waumini wanaoweza kutekeleza ibada Umrah kila siku hadi 70,000.
Habari ID: 3474272    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/08

Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Saudi Arabia, utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani ziko kwenye muungano mmoja.
Habari ID: 3474252    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/03

TEHRAN (IQNA)- Hali ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini Yemen kutokana na vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu na kusema kuwa, mtoto mmoja wa Yemen hupoteza maisha kila baada ya dakika 10.
Habari ID: 3474223    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/24

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa hatua ya utawala wa Aal Saud ya kuzuia kufanyika ibada tukufu ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kwa kisingizio cha corona ni kuivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah.
Habari ID: 3474176    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/10

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Hija na Umrah ya Saudi Arabia ilitangaza kwamba itakubali maombi ya Umra kuanzia Agosti 9, 2021, kwa mahujaji kutekeleza Ibada ya Hija ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3474172    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/08

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameitaka Saudi Arabia iwaachilie huru mahabusu wote Wapalestina inaowashikilia na kufunga faili lao.
Habari ID: 3474161    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/05

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Saudi Arabia wametangaza kuwa hakutakuwa na vizingiti katika idadi ya watu wanaotaka kutekeleza Ibada ya Hija ndogo ya Umrah katika mwaka mpya wa Hijria Qamaria unaotazamiwa kuanza Alhamisi ijayo.
Habari ID: 3474159    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/04

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Usimamizi wa Misikiti Miwili Mitakatifu ya Makka na Madina imeazimia kutumia maroboti katika Msikiti Mtakatifu wa Makka katika ibada ya Hija mwa huu.
Habari ID: 3474103    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/15

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha sheria mjini Sana'a kimetoa takwimu za jinai zilizofanywa na muungano wa Saudi Arabia katika kipindi cha siku 2,300 za uvamizi wake nchini Yemen.
Habari ID: 3474097    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/13

TEHRAN (IQNA)- Muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua shahidi raia kadhaa na kuwajeruhi wengine katika hujuma dhidi ya mkoa wa Sa'ada nchini Yemen.
Habari ID: 3474059    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/01

TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Afya ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ameweka wazi athari mbaya za mashambulio ya muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen na kuzingirwa nchi hiyo ya Kiarabu
Habari ID: 3474009    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/15

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Hija ya Yemen imelaani vikali hatua ya Saudia kuwazuia Waislamu kutoka nje ya ufalme huo kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3474002    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/13

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Masuala ya Kiislamu katika Ufalme wa Saudi Arabia imetangaza ksambaza nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu ambazo zimetarjumiwa kwa lugha 10. 
Habari ID: 3474000    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/12

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Masuala ya Kiislamu katika Ufalme wa Saudi Arabia imetangaza kuweka vizuizi katika utumizi wa vipaza sauti misikitini nchini humo.
Habari ID: 3473943    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/24

TEHRAN (IQNA) Alhamisi tarehe nane Shawwal 1442 Hijria, sawa na tarehe 20 Mei 2021 ni kumbukumbu ya Mawahhabi kubomoa makaburi ya Ahul Bayt wa Mtume SAW ya Jannatul Baqii katika mji mtakatifu wa Madina takribani miaka 95 liyopita.
Habari ID: 3473930    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/20

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Yemen limefanikiwa kumuua kinara wa magaidi wa Daesh ambaye pia ni muitifaki mkubwa wa muungano vamizi wa Saudia katika mkoa wa Ma’rib.
Habari ID: 3473870    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/02

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 25 ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu ya Mwanamfalme Sultan bin Salman maalumu watoto wenye ulemavu yamefanyika Saudi Arabia na washindi 34 kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473850    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/26