TEHRAN (IQNA) -Baadhi ya duru za Saudi Arabia zimeripoti kuwa, wiki iliyopita Sudan ilipeleka mamia ya wanajeshi wake huko Yemen kupitia Saudia.
Habari ID: 3473227 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/03
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imesema itawaruhusu Waislamu walioko nchini humo kutekeleza Ibada ya Umrah kuanzia Oktoba Nne.
Habari ID: 3473197 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/23
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Canada imeongeza walinzi wa Ali Saad al-Jabri, mkuu wa zamani wa Idara ya Ujasusi ya Saudi Arabia ikihofia kuuawa na serikali na Saudi Arabia.
Habari ID: 3473049 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/09
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wanaotekeleza ibada ya Hija wamewasilia katika mji mtakatifu wa Makka kutoka maeneo mbali mbali ya Saudi Arabia huku kukiwa na hatua kali za kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3473007 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/27
TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Saudia wamesema Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al-Masjid Al-Ḥaram, hautafunguliwa wakati wa Swala wa Idul Adha mwaka huu kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472991 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/23
TEHRAN (IQNA) – Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema Wayemen wasiopungua milioni 10 wa Yemen wanaandamwa na ubaha mkubwa wa chakula na hivyo wanahitaji misaada ya dharura ili kuzuia baa la njaa.
Habari ID: 3472950 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/11
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
TEHRAN (IQNA) -Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kusema urongo na kueneza chuki ni viungo muhimu katika sera za kigeni za Marekani.
Habari ID: 3472946 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/10
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali hatua ya gazeti moja linalomilikiwa na Saudia kuchora katuni inayomvunjia heshima kiongozi wa juu wa kidini wa nchini Iraq Ayatullah Sayyed Ali Al-Sistani.
Habari ID: 3472931 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/05
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Majeshi ya Yemen amesema majeshi ya nchi hiyo yametekeleza oparesheni maalumu ndani kabisa ya ardhi ya Saudi Arabia.
Habari ID: 3472891 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/23
TEHRAN (IQNA)- Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamemjia juu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres kwa kuuondoa muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika orodha ya makundi yanayokanyaga haki za watoto.
Habari ID: 3472870 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/16
TEHRAN (IQNA) –Wayemen wamelaani muungaji wa kivita unaaongozwa na Saudia kwa kutumia mabomu vya vishada dhidi ya eneo la makazi ya raia katika mji mkuu, Sana’a na kupelekea familia moja kujeruhiwa vibaya.
Habari ID: 3472857 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/11
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imesema itaendelea kusitisha kwa muda Ibada ya Umrah ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona lakini misikiti yote nchini humo imefunguliwa isipokuwa Msikiti Mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3472803 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/26
TEHRAN (IQNA) -Sayyed Abbas Mousawi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa njia pekee ya kurejesha uthabiti na utulivu Yemen ni umoja na mshikamano miongoni mwa makundi mbali mbali nchini humo.
Habari ID: 3472717 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/30
TEHRAN (IQNA)- Muungano vamizi unaoongozwa na Saudia hadi sasa umeharibu kwa makusudi mamia ya misikiti na maeneo ya kihistoria katika vita vya Yemen.
Habari ID: 3472666 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/14
TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Saudi Arabia wako mbioni kuzuia kuenea ugonjwa wa corona au COVID-19 katika mji mtakatifu wa Makka kutokana na kuenea kwa kasi ugonjwa huo mjini humo pamoja na kuwa kunatekeleza sheria ya kutotoka nje kwa masaa 24.
Habari ID: 3472664 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/14
TEHRAN (IQNA) -Watu wote wa familia moja nchini Yemen wameauwa katika hujuma ya roketi iliyotekeleza na wapiganaji wa muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia.
Habari ID: 3472636 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/05
TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji) maarufu wa Qur’ani Tukufu kutoka Saudi Arabia, Abubakr al-Shateri ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472622 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/01
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Indonesia yameakhirishwa kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472620 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/31
TEHRAN (IQNA) - Majeshi ya Yemen yametekeleza oparesheni ya kihistoria na kubwa zaidi ya ulipizaji kisasi ndani ya ardhi ya Saudi Arabia kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora kulenga maeneo muhimu kistratijia katika ufalme huo.
Habari ID: 3472616 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/30
TEHRAN (IQNA)- Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Saudi Arabia wanazidi kuongezeka huku Uturuki ikiituhumu Saudia kuwa inaficha ukweli kuhusu idadi kamili ya walioambukizwa.
Habari ID: 3472608 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/27