iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufalme wa Saudi Arabia Jumatatu imechapisha picha za walinzi wanawake wakiwa katika Msitiki Mtakatifu wa Makka, al-Masjid al-Ḥaram.
Habari ID: 3473835    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/20

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Yemen wanajumuika pamoja misikitini katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na kuwa nchi yao inakabiliwa na hujuma ya kinyama ya muungano vamizi wa Saudia-Marekani.
Habari ID: 3473820    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/16

TEHRAN (IQNA)- Ufalme wa Saudi Arabia umesema Waislamu wanaokusudia kutekeleza ibada ya Umrah katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni sharti kwanza wapate chanjo ya COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473788    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/06

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kifalme Saudi Arabia umewafuta kazi maimamu na wahubiri wapatao 1,000 katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473777    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/02

Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema muungano vamizi wa kijeshi umebomoa misikiti 1400 katika mashambulizi yake maeneo mbali mbali nchini Yemen.
Habari ID: 3473762    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/26

TEHRAN (IQNA)- Mohammed Abdul Salam, msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema pendekezo la amani la Saudia ‘halina jipya’ kwani halijumuishi takwa la Ansarullah la kuondolewa mzingiro kikamilifu dhidi ya Yemen hasa katika uwanja wa ndege wa Sana’a na bandari ya Hudaydah.
Habari ID: 3473757    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/24

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa Iran inaunga mkono mpango wowote wa kuleta amani Yemen.
Habari ID: 3473756    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/23

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa kiimla wa Saudi Arabia unapanga kuwatimua wenyeji mji wa Qatif, ambao wakaazi wake wengi ni Waislamu wa madhehebu ya Shia.
Habari ID: 3473742    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/17

TEHRAN (IQNA) – Ndege za kivita zisizo na rubani (drone) za Jeshi la Yemen zimelenga maeneo muhimu ya kijeshi na kibiashara nchini Saudi Arabia katika fremu ya oparesheni za ulipizaji kisasi.
Habari ID: 3473704    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/05

TEHRAN (IQNA)- Misikiti saba imefungwa kwa muda katika mji mkuu wa Saudia, Riyadh baada ya waumini saba kuambukizwa Corona au COVID-9.
Habari ID: 3473669    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/21

TEHRAN (IQNA)- Yemen inakabiliwa na baa kubwa la njaa ambalo linaweza kuvuruga jitihada mpya za kusaka amani katika nchi hiyo ambayo kwa miaka sita sasa imekuwa ikikabiliwan na hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia na waitifaki wake,
Habari ID: 3473663    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/19

TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa serikali ya Yemen wanasema nchi yao hivi imo vitani, inashambuliwa kila uchao na muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia, hivyo ni haki ya kawaida kabisa kwa wananchi wa Yemen kujibu mashambulizi wanayofanyiwa.
Habari ID: 3473653    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/15

TEHRAN (IQNA) – Misikiti mingine 8 imefungwa kwa muda maeneo mbali mbali ya Saudia kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3473649    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/14

TEHRAN (IQNA)- Italia imetangaza kusitisha uuzaji silaha zake kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kutokana na jinai za kivita ambazo tawala hizo mbili zinafanya huko Yemen.
Habari ID: 3473603    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/30

TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa Iraq wamesema rais wa Saudi Arabia ni mmoja kati ya magaidi waliotekekeleza hujuma iliyopelekea raia 28 wasio na hatua kuuwa mjini Baghdad.
Habari ID: 3473578    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/21

TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya weledi wa mambo wanaamini kuwa kurejeshwa uhusiano wa Saudi Arabia na Qatar ni hatua ya awali katika nchi hizo mbili kuaunzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473534    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/07

TEHRAN (IQNA) – Uwekezaji wa Saudi Arabia katika uga wa utamaduni na kidini miongoni mwa jamii za Waislamu umekithiri katika bara la Afrika kwa lengo la kuzuia ushawishi brani humo wa madola makubwa ya Kiislamu kama vile Uturuki na Iran.
Habari ID: 3473522    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04

TEHRAN (IQNA) - Wanazuoni zaidi ya 12 wa Kiislamu kutoka madhehebu ya Shia wanashikiliwa bila kufunguliwa mashtaka nchini Saudi Arabia huku ufalme huo ukishadidisha ukandamizaji wa jamii za waliowachache nchini humo.
Habari ID: 3473482    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/22

TEHRAN (IQNA) - Taasisi mbalimbali za kutetea haki za binadamu zimetoa radiamali kufuatia hatua ya utawala wa Saudi Arabia kumtia mbaroni mwana wa kiume wa Sheikh Nimr Baqir al Nimr.
Habari ID: 3473479    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/22

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza kuwa, watoto wachanga 100,000 hufariki kila mwaka nchini humo punde baada ya kuzaliwa kutokana na vita vinavyoendelea vya Saudia dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi katika Bara Arabu.
Habari ID: 3473478    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/21