IQNA

8:05 - May 14, 2020
News ID: 3472764
TEHRAN (IQNA) – Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa Ibada ambao huwajumuisha Waislamu kwa lengo moja.

Kila mwaka katika mwezi huu mtukufu, Waislamu hujumuika  kwa ajili ya Swala za jamaa, kwa aili ya kusoma Qur'ani Tukufu na pia kwa ajili ya kufuturu baada ya siku nzima ya Saumu.

Hatahivyo kutokana na ugonjwa ambukizi wa COVID-19 au corona, Ramadhani imechukua muelekea wake mwaka huu miongoni mwa Waislamu. Katika video hii, hapa tunaona namna ibada za Ramadhani zilivyokuwa tafauti mwaka huu huko Singapore kutokana na corona.

3898425

Name:
Email:
* Comment:
* captcha: