IQNA

Mwezi wa Ramadhani

Aya za Kila Siku: Kuwa Imara Katika Sala

15:43 - March 29, 2023
Habari ID: 3476778
TEHRAN (IQNA)- Mwenyezi Mungu Mtukufu amewataka waumini kuwa na uthabiti na kushikamana katika sala zao na wasiwe kama washirikina. Haya ni kwa mujibu wa aya ya 31 ya Surah Ar-Rumn katika Qur'ani Tukufu.

Muwe wenye kutubia kwake, na mcheni Yeye, na shikeni Sala, na wala msiwe katika washirikina

 

captcha