TEHRAN (IQNA) - Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesisitiza kuwa, nchi yake inapinga vikali hatua zozote zile zenye lengo la kuanzisha uhusiano na utawala vamizi wa Israel unaotenda jinai kila leo dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
Habari ID: 3473190 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/21
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia wa Algiers, ni msikiti mkubwa zaidi barani Afrika na utafunguliwa Novemba.
Habari ID: 3473090 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/22
TEHRAN (IQNA) – Misikiti imefunguliwa tena nchini Algeria baada ya kufungwa kwa muda wa miezi mitano.
Habari ID: 3473074 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/16
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Algeria imesema misikiti 4,000 nchini humo iko tayari kufunguliwa baada ya kutimiza masharti yanayotakiwa katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473053 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Algeria amekataa kuafiki mapendekezo ya kufungua misikiti nchini humo kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini humo.
Habari ID: 3472918 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/01
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Algeria, Sheikh Muhammad bin Sudaira hivi karibuni alisoma aya za Qur’ani Tukufu kuhusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472740 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/06
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Masuala ya Kidini Algeria imetangaza kuwa, Qiraa ya Qur’ani Tukufu itasikika kupitia vipaza sauti vya misikiti yote nchini humo nusu saa kabla ya Adhana ya adhuhuri kwa lengo la kuibua hali ya kimaanawi na kudumisha utulivu wa kiroho wakati huu wa janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472642 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/07
TEHRAN (IQNA) – Algeria imesitisha sala za Ijumaa na kufunga misikiti yote nchini humo kwa kama ikiwa ni katika jitihada za kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472582 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/19
TEHRAN (IQNA) – Mahakama nchini Algeria imewahukumu vifungo vya muda mrefu jela mawaziri wakuu wawili wa zamani wa nchi hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma.
Habari ID: 3472266 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/10
Mgombea urais nchini Algeria amesema wote waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu nchini humo watatunukiwa Shahada (digrii) ya Kwanza.
Habari ID: 3472260 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/07
TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya vijana na watoto nchini Algeria wamejisajili kushiriki katika darsa za Qur'ani zinazofanyika katika misikiti na vituo vya Qur'ani katika mkowa wa Constantine kaskazini mashari mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472084 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/15
TEHRAN (IQNA)-Wananchi wa matabaka mbali mbali huko Algeria wameendeleza maandamani Ijumaa wakimtaka Rais Abdelaziz Bouteflika aondoke madarakani na asiwanie tena urais mwezi ujao wa Aprili.
Habari ID: 3471867 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/08
TEHRAN (IQNA)- Awamu ya 20 ya Wiki ya Qur'ani Tukufu nchini Algeria imefanyika huku kukitolewa wito wa kuhakikisha watoto wanajifunza Qur'ani.
Habari ID: 3471763 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/07
TEHRAN (IQNA)-Duru ya 19 ya "Wiki ya Kitaifa ya Qur'ani" ya Algeria imeanza kuadhimishwa Disemba 19 katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3471319 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/21
TEHRAN (IQNA)-Mashindano kadhaa ya Qur’ani na Hadithi yanafanyika kote Algeria kwa munasaba wa Maulidi ya Mtume Mtukufu wa Uislamu Muhammad al Mustafa SAW.
Habari ID: 3471275 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24
TEHRAN (IQNA)-Algeria imetoa msaada wa mamia ya nakala za Qur'an Tukufu kwa ajili ya Waislamu nchini Russia.
Habari ID: 3471039 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/28
TEHRAN (IQNA)-Algeria imetangaza mpango wa kurekebisha mfumo wa usomeshaji Qur'ani katika shule za nchi hiyo kwa ushirikiano na wadau wa masuala ya kidini nchini humo.
Habari ID: 3470991 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/23
Mtaalamu wa Qur'ani kutoka Algeria
TEHRAN (IQNA)-Mtaalamu wa masuala ya Qur'ani kutoka Algeria amesema mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran mwaka huu ni ya kipekee na ya aina yake duniani.
Habari ID: 3470949 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/24
IQNA: Algeria imesambaratisha mtandao wa kijasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo ya Afrika Kaskazini.
Habari ID: 3470795 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/15
IQNA-Kongamano la Sita la Kimataifa la Qur'ani Tukufu limefunguliwa Disemba 3 katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Abdul Qadir katika mji wa Constantine nchini Algeria.
Habari ID: 3470718 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/05