algeria - Ukurasa 3

IQNA

Harakati za Qur'ani
IQNA - Wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 40 wanashiriki katika mashindano ya 19 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Algeria.
Habari ID: 3478307   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Duru ya awali ya Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Algeria ilianza katika mji mkuu wa nchi hiyo siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478240   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/23

IQNA- IQNA – Qari Kijana wa Algeria Abdul Aziz Sahim ameshiriki usomaji wake wa hivi majuzi wa aya kutoka kwenye Surah Al-Baqarah.
Habari ID: 3478221   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20

Milad un Nabii
ALGIERS (IQNA) - Waziri Wakfu na Masuala Kidini wa Algeria katika kikao na wasimamizi wa wizara hiyo walijadili kufanya sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaani Maulidi au Milad un Nabii.
Habari ID: 3477658   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/26

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya kulaani kikao cha Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel, Waziri Mkuu wa Libya amesema: Tripoli inaunga mkono suala la ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3477534   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01

Diplomasia
ALGIERS (IQNA)- Naibu Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza kuwa, taifa hilo la kaskazini mwa Afrika halitafuata mkumbo wa nchi nyingine za Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel, akisisitiza kuwa Waalgeria wanautazama utawala huo kuwa wa kikoloni.
Habari ID: 3477450   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/17

TEHRAN (IQNA) – Abdul Aziz Sahim ni qari kijana na mwenye kipaji ambaye amepata kutambuliwa nchini Algeria.
Habari ID: 3476984   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/11

Taazia
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Ali al-Qassimi, mwandishi maarufu wa Qur’ani nchini Algeria, amefariki dunia.
Habari ID: 3476973   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/08

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Masuala ya Kidini wa Algeria amesema baadhi ya wanafunzi milioni moja wamejiandikisha kwa ajili ya kozi za Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3476961   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/05

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Gereza moja katika mji mkuu wa Algeria, Algiers limewaenzi wafungwa 150 ambao waliweza kuhifadhi Quran Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3476907   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/24

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Shindano la 18 la Kimataifa la Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Algeria wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Jumamosi.
Habari ID: 3476583   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19

Qiraa bora
TEHRAN (IQNA) – Muhammad Irshad Murabaei ni qari mwenye ulemavu wa macho nchini Algeria ambaye pia ni imamu wa sala nchini humo.
Habari ID: 3476393   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12

Harakati za Qur'ani Algeria
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu na masuala ya Kiislamu ya Algeria imetangaza kuzindua duru ya awali ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3476218   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Algeria imewazawadia safari Umrah kwa wanafunzi 168 wa vyuo vikuu ambao wamefanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu..
Habari ID: 3476162   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 24 la Wiki ya Kitaifa ya Qur’ani limezinduliwa nchini Algeria katika sherehe siku ya Jumanne.
Habari ID: 3475953   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/19

Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa 11 unaoandaliwa kila mwaka kwa mnasaba wa Maulid ya Mtukufu Mtume (SAW) ulifanyika katika mji wa Adrar nchini Algeria.
Habari ID: 3475913   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11

Turathi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Algeria inapanga kuandaa shindano litakalojumuisha kazi za kufufua turathi za Kiislamu za nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3475862   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune alisema suala la Palestina ndilo suala la msingi kwa nchi yake.
Habari ID: 3475837   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25

Upinzani wa Israel
TEHRAN (IQNA) - Majaji wa Algeria wamesusia mkutano wa kimataifa huko Tel Aviv, huku wakibainisha sababu ya hatua hiyo ni upinzani wao kwa mkakati wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3475802   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18

u
TEHRAN (IQNA)- Shule ya mtandaoni ya kufundisha Qur'ani Tukufu na lugha ya Kiarabu kwa raia wa Algeria wanaoishi katika nchi mbalimbali za dunia ilizinduliwa kwa idhini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hii.
Habari ID: 3475664   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/22