Harakati za Qur'ani
IQNA – Waziri wa Wakfu Algeria amesema kuwa Qur'ani Tukufu kwa lugha ya ishara itatolewa kwa wale wenye ulemavu wa kusikia nchini humo.
Habari ID: 3480018 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/08
IQNA - Idara kadhaa za wakfu na masuala ya dini nchini Algeria zinafanya kazi ya kufungua tena shule za Qur'ani na Maktab (vituo vya jadi vya kusoma Qur’ani) wakati wa likizo za majira ya baridi ili kuruhusu wanafunzi kutumia muda huu kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3480014 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/06
IQNA - Waziri wa Masuala ya Dini na Wakfu wa Algeria amesisitiza mafanikio ya nchi hiyo katika sekta ya elimu ya Qur’ani.
Habari ID: 3480007 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/05
IQNA – Wanaume na wanawake mia tano waliohifadhi Qur’ani Tukufu kutoka mikoa mbalimbali ya Algeria wamekusanyika kufanya Khatm Qur’ani katika kikao kimoja kama sehemu ya mpango wa kitaifa wa Qur’ani. Khatm Qur’ani ni usomaji wa Qur’ani kutoka mwanzo hadi mwisho.
Habari ID: 3479982 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/31
IQNA - Mwanamke wa Algeria ambaye alijifunza Qur’ani Tukufu kwa moyo akiwa na ameaga dunia kutokana na saratani akiwa na umri wa miaka 75.
Habari ID: 3479456 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/19
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Duru ya awali ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani ya Algeria imeanza kwa kushirikisha washiriki 225 wa kiume na wa kike.
Habari ID: 3479413 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10
Msomi wa Qur'ani
IQNA - Ahmed al-Aimash (Laimeche) ni mtu mashuhuri nchini Algeria na ulimwengu wa Kiarabu kutokana na jukumu lake katika kukuza Uislamu na kuimarisha utambulisho wa kitamaduni wa Waarabu.
Habari ID: 3479391 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07
Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu na masuala ya Kiislamu ya Algeria inasema wasichana wa nchi hiyo wamekuwa wakifurahia sana kozi za Qur'ani Tukufu za msimu huu wa majira ya joto nchini humo..
Habari ID: 3479246 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08
Michezo
IQNA-Judoka wa Algeria amekataa kushindana na mwakilishi wa utawala haramu wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024.
Habari ID: 3479201 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/30
Harakati za Qur'ani
IQNA - Waziri wa Wakfu wa Algeria amesema idadi kubwa ya wanafunzi wanajifunza Qur'ani katika vituo vya Qur'ani kote katika nchi hiyo kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3478995 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/21
IQNA - Maafisa nchini Algeria wamezindua mpango wa kutafuta na kukusanya nakala za Qur'ani Tukufu ambazo zina makosa ya uchapishaji.
Habari ID: 3478849 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/19
Kadhia ya Palestina
IQNA - Picha za qari wa Algeria akisoma Qur'ani kwa ajili ya kuwaenzi watu wa Gaza zimesambaa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3478712 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/21
Mashindano ya Qur'ani Algeria
IQNA - Rais wa Algeria ameamuru kuongezwa kwa zawadi za fedha zinazotolewa kwa washindi wa mashindano ya Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3478682 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/14
Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kiutamaduni kati ya Iran na Algeria kwa kuzingatia misikiti kama msingi na katika mwelekeo wa kuongeza maarifa, sayansi na kujenga umoja na mafungamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3478444 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03
Turathi
IQNA- Msikiti mkubwa zaidi barani Afrika, unaochukua waumini 120,000, umefunguliwa nchini Algeria siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478418 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26
Mashindano ya Qur'ani
Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Algeria watunukiwa
IQNA –Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Algeria yalihitimishwa siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3478330 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10
Mtazamo
IQNA - Imam Khomeini (MA) alitilia mkazo hadhi ya juu ya wanawake katika Uislamu na alizingatia sana haki zao, mwanazuoni wa Algeria amesema.
Habari ID: 3478322 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09
Harakati za Qur'ani
IQNA - Wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 40 wanashiriki katika mashindano ya 19 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Algeria.
Habari ID: 3478307 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Duru ya awali ya Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Algeria ilianza katika mji mkuu wa nchi hiyo siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478240 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/23
IQNA- IQNA – Qari Kijana wa Algeria Abdul Aziz Sahim ameshiriki usomaji wake wa hivi majuzi wa aya kutoka kwenye Surah Al-Baqarah.
Habari ID: 3478221 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20