TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria ameelezwa kusikitishwa kwake na hatua ya baadhi ya nchi ya kung'ang'ania utawala haramu wa Israel upatiwe hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.
Habari ID: 3474431 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16
TEHRAN (IQNA)- Mwanamichezo wa mchezo wa Judo wa Algeria, Fethi Nourine (Fat-hi Nurin), ambaye alifadhilisha kujitoa kwenye michezo ya Olimpiki ya Tokyo kuliko kucheza na mwakilishi wa utawala haramu wa Israel, bado anaendelea kugonga vichwa vya habari.
Habari ID: 3474278 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Murad Sabati ni qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu nchini Algeria ambaye ana sauti nzuri.
Habari ID: 3474251 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/02
TEHRAN (INQA)- Algeria inasema misitu nchini humo imeteketezwa moto hivi karibuni na makundi mawili ambavyo ni ya "kigaidi", na moja ya kati ya makundi hayo linaungwa mkono na Morocco na utawala wa Kizayuni Israel.
Habari ID: 3474208 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/20
TEHRAN (IQNA)- Mamlaka ya Algeria iliamuru kufungwa kwa misikiti katika maeneo mengi ya nchi kutokana na ongezeko la maambukizi ya COVID-19, haswa aina mpya ya Delta.
Habari ID: 3474133 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/27
TEHRAN (IQNA) - Mwanamichezo wa mchezo wa Judo kutoka Sudan Mohamed Abdalrasool amekuwa mwamichezo wa pili kukataa kucheza na Muisraeli Tohar Butbul katika michezo ya Olimpiki 2020 ya Tokyo.
Habari ID: 3474130 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/26
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Maswala ya Kidini ya Algeria imelaani mauaji ya imamu wa msikiti katika mkoa wa kaskazini wa Tizi Ouzou wakati akisali Sala ya Alasiri jioni msikitini.
Habari ID: 3474123 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/24
TEHRAN (IQNA)- Mwanamichezo wa mchezo wa Judo wa Algeria ameamua kujitoa kwenye michezo ya Olimpiki ya 2020 Tokyo inayofunguliwa rasmi leo katika mji mkuu huo wa Japan, ikiwa ni harakati ya kutangaza mshikamano na Palestina na kupinga kuanzishwa uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474120 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/23
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Masuala ya Kidini Algeria imeandaa darsa maalumu ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474081 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/08
TEHRAN (IQNA)- Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amesema nchi yake haitalegeza msimamo wake katika kuunga mkono taifa la Palestina.
Habari ID: 3473989 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/08
TEHRAN (IQNA)- Wasomaji Qur’ani Tukufu kutoka Algeria ni miongoni mwa bora zaidi duniani.
Habari ID: 3473809 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/13
TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi zaidi ya 185 wa Qur'ani Tukufu kutoka mikoa 26 ya Algeria ambao wamefanikiwa kuhifadhi Qur'ani katika mafunzo yaliyotolewa kwa njia ya intaneti wameenziwa katika sherehe iliyofanyika mjini Oran, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3473676 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/23
TEHRAN (IQNA)- Algeria imefungua misikiti yote nchini humo baada kwa ajili ya sala za jamaa za kila siku na Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3473655 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/16
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya na Masuala ya Kidini Algeria imesema misikiti nchini humo ambayo ilifungwa kutokana na janga la COVID-19 sasa imeanza kutayarishwa kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473627 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/06
TEHRAN (IQNA) - Makumi ya wabunge wa Algeria wameandaa muswada wa sheria inayolenga kuufanya kuwa ni uhalifu uanzishwaji wa uhusiano wowote wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473536 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/08
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Algeria imeafiki kufunguliwa tena madrassah za Qur'ani Tukufu nchini humo ambazo zilikuwa zimesitisha shughuli zao kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473514 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/01
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu Algeria imetoa wito wa kufunguliwa tena madrassah za Qur’ani nchini humo kwa kuzingatia kanuni za kiafya katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473472 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/19
Tunisia imesema haina mpango wowote wa kuchukua uamuzi sawa na wa Morocco wa kuanzisha uhusiano na utawala bandia wa Israel.
Habari ID: 3473457 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/15
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Algeria amekosoa hatua ya Morocco kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473450 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/12
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Algeria wameunga mkono mabadiliko ya katiba katika kura ya maoni iliyofanyika Novemba mosi nchini humo.
Habari ID: 3473321 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02