iqna

IQNA

Kadhia ya Palestina
Makundi ya kisiasa na kijamii ya Palestina yamepongeza uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Haki ( ICJ ) wa kutazama ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu na Israel la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kuwa haramu na kinyume cha sheria.
Habari ID: 3479153    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/20

Jinai za Israel
IQNA-Mahakama ya Kimataifa ya Haki ( ICJ ) imeutaka Utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe mashambulizi yake katika mji wa kusini wa Gaza wa Rafah na kujiondoa katika eneo hilo, katika kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari, na kuielezea hali hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa wakazi wa Palestina.
Habari ID: 3478881    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/25

Watetezi wa Palestina
IQNA - Wakati wa warsha iliyofanyika katika maonyesho ya sanaa yanayoendelea Tehran idadi kubwa ya waandishi wa kaligrafia wameandika Surah Al-Fil ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478841    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/18

Jinai za Israel
IQNA-Afrika Kusini imeitaka Mahakama Kuu ya Umoja wa Mataifa iamuru kusitishwa uvamizi wa kijeshi dhidi ya Rafah kama sehemu ya kesi yake iliyofungua mjini The Hague inayoushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mauaji ya kimbari, ikisema utawala huo "lazima uzuiwe" ili kunusuru maisha ya Wapalestina.
Habari ID: 3478840    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17

Watetezi wa Palestina
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimekaribisha uungwaji mkono wa nchi hiyo kwa hatua za kisheria zilizochukuliwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala haramu Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ( ICJ ).
Habari ID: 3478819    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/14

Jinai za Israel
IQNA - Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema zile siku za utawala wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina bila kuadhibiwa zimefika ukingoni.
Habari ID: 3478802    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/10

Kadhia ya Palestina
IQNA-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afrika Kusini amesema kuwa, raia yeyote wa nchi hiyo atakayeusaidia utawala wa Kizayuni katika vita vya Ukanda wa Gaza atatiwa mbaroni punde tu atakaporejea Afrika Kusini.
Habari ID: 3478520    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16

Watetezi wa Palestina
IQNA - Hatua za kivita za utawala wa Israel huko Rafah "zinathibitisha" usahihi wa kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya utawala huo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ( ICJ ), Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema.
Habari ID: 3478356    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15

Jinai za Israel
IQNA - Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi la Palestina UNRWA amesema kuwa uamuzi wa baadhi ya nchi za Magharibi kusitisha misaada ya kifedha kwa shirika hilo ni sawa na "adhabu ya pamoja" ambayo itapunguza misaada ya kuokoa maisha kwa watu milioni mbili huko Gaza.
Habari ID: 3478265    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28

Watetezi wa Palestina
IQNA-Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza yanapongezwa na kusifiwa na watu wote wanaopigania uhuru na ukombozi.
Habari ID: 3478260    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/27

Jinai za Israel
IQNA-Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ hii leo imeamua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel lazima uchukue hatua zote za kuzuia vitendo vya mauaji ya kimbari katika mashambulizi yake dhidi ya Wapalestina huko, Gaza.
Habari ID: 3478258    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26

Kadhia ya Palestina
IQNA-Afrika Kusini imesema inatazamia hukumu ya awali ya kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ( ICJ ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza itatolewa Ijumaa.
Habari ID: 3478251    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25

Watetezi wa Palestina
IQNA-Mahakama ya Kimataifa ya Haki ( ICJ ) imeanza kusikiliza shauri la kesi iliyofunguliwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, ambayo inaishutumu kwa kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Gaza.
Habari ID: 3478184    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/11

Watetezi wa Palestina
IQNA- Nchi zaidi zimeungana na Afrika Kusini katika kesi iliyowasilishwa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ( ICJ ) kuhusu vita vya mauaji ya kimbari vya utawala huo kwenye dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
Habari ID: 3478182    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/11

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mashirika kadhaa ya Kiislamu nchini Kanada (Canada) yamemuomba Waziri Mkuu Justin Trudeau kuunga mkono uchunguzi wa kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita wa utawala wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3478177    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/10

Jinai za Israel
IQNA-Mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ( ICJ ) kuhusu tuhuma za mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza kuanza kusikilizwa wiki ijayo.
Habari ID: 3478147    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/04

Watetezi wa Palestina
IQNA-Afrika Kusini imefungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ( ICJ ) kuhusu mashambulizi ya "mauaji ya kimbari" ya utawala huo dhidi ya Gaza, ambayo hadi sasa yameua zaidi ya Wapalestina zaidi ya 21,500.
Habari ID: 3478112    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/30

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya nchi 90 zimeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel kuacha hatua za kuwaadhibu Wapalestina kufuatia ombi la Umoja wa Mataifa la kutaka maoni ya ushauri kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ( ICJ ).
Habari ID: 3476415    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kwa kupitisha azimio, limetaka maoni ya ushauri ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ( ICJ ) kuhusu namna utawala ghasibu wa Israel unavyokiuka haki ya Wapalestina ya kujitawala na kujiainishia hatima yao na utawala.
Habari ID: 3476338    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

TEHRAN (IQNA) Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ( ICJ ) imeanza kusikiliza kesi kuhusu mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Myanmar kufuatia shtaka ambalo limewasilishwa na Gambia.
Habari ID: 3472265    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/10