iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Hassan Diab Waziri Mkuu Mpya wa Lebanon Jumanne 21 Januari alitangaza rasmi baraza lake la mawaziri.
Habari ID: 3472397    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/23

TEHRAN (IQNA) - Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi Wapalestina watatu katika uzio wa Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3472396    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/22

TEHRAN (IQNA) – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limeanzisha kampeni maalumu ya kuwahimiza Waislamu kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa rais utakaofanyika nchini humo mwaka 2020.
Habari ID: 3472395    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/22

TEHRAN (IQNA) – Awamu ya kwanza ya ukarabati muhimu wa Msikiti wa Al Nouri mjini Mosul Iraq imekamilika. Msikiti huo ulihujumiwa na kubomolewa na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) mwaka 2017.
Habari ID: 3472394    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/22

TEHRAN (IQNA) - Hatimaye wawakilishi wawili watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano makubwa ya Qur an tukufu ya Hifdh na Tajweed yatakayofanyika nchini Gabon, wamepatikana.
Habari ID: 3472393    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/21

TEHRAN (IQNA)- Misri imeandaa hafla ya kumbukumbu ya kuzaliwa qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu nchini humo Mohamed Siddiq El-Minshawi.
Habari ID: 3472392    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/21

Mwanaharakati wa Nigeria
TEHRAN (IQNA) – Mwanaharakati wa Nigeria ambaye ni mwanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) amesema kuuawa shahidi kamanda wa ngazi za juu wa Iran Luteni Jenerali Soleimani kuliwaunganisha wapigania uhuru kote duniani.
Habari ID: 3472391    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/21

Kiongozi Muadhamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amefafanua kuhusu misingi ya fikra za Kiislamu na malengo yake kukiwemo kusimama imara kwa Jamhuri ya Kiislamu na kusema hiyo ni nukta inayoivutia dunia.
Habari ID: 3472390    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/20

TEHRAN (IQNA) – Mohammad Moussaoui amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Baraza la Waislamu Ufaransa (CFCM).
Habari ID: 3472389    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/20

TEHRAN (IQNA) – Kasisi Mkristo ambaye alikuwa anasikiliza qiraa ya Qur'ani Tukufu nchini Misri alivutiwa sana na usomaji huo na akatoa shukrani zake kwa kumkumbatia.
Habari ID: 3472388    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/20

TEHRAN (IQNA) - Makumi ya mamluki wa Saudi Arabia wameuawa katika operesheni iliyofanywa na jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya Ansarullah huko kaskazini mwa Yemen.
Habari ID: 3472387    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/19

TEHRAN (IQNA) – Mbunge katika chama tawala chenye misimamo mikali ya Kihindu cha Bharatiya Janata (BJP) nchini India ametishia kuwa, misikiti iliyojengwa katika 'ardhi ya serikali' katika mji wa New Delhi itabomolewa.
Habari ID: 3472386    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/19

TEHRAN (IQNA) – Uongozi wa mkoa wa Aceh nchini Indonesia umepitisha sheria ya kuzitaka stesheni zote za televisheni na radio nchini humo kurusha hewani adhana ukiwadia wakati wa sala.
Habari ID: 3472385    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/19

TEHRAN (IQNA) - Bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari ambalo lilikuwa likiwalenga wakandarasi Uturuki limelipuka katika eneo la Afgoye, kaskazini Magharibi mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu ambapo watu watatu wanaripotiwa kuuawa katika tukio hilo.
Habari ID: 3472384    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/18

TEHRAN (IQNA) -Hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa jana mjini Tehran, imeakisiwa sana na vyombo vya habari vya kigeni.
Habari ID: 3472382    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/18

TEHRAN (IQNA) – Nakala milioni 1.5 za Qur'ani Tukufu zimechapishwa katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.
Habari ID: 3472381    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/18

TEHRAN (IQNA) - Idadi kubwa ya wananchi waumini wa Iran wamefanya maandamano makubwa katika kuunga mkono mfumo wa Kiislamu na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kusimama kidete katika kukabiliana na ya Marekani.
Habari ID: 3472380    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/17

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
THERAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema pigo la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kwa adhama ya Marekani ni jambo ambalo limepelekea nchi hiyo ifedheheke na kuongeza kuwa: "Pigo hilo kubwa na lenye nguvu haliwezi kufidiwa kwa chochote na hivyo hatua ya hivi karibuni ya Marekani ya kuongeza vikwazo haiwezi kuondoa fedheha hiyo."
Habari ID: 3472379    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/17

TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani inafuata njia isiyo sahihi kuhusu taifa la Iran. Ameongeza kuwa, taifa la Iran limezidi kuwa na nguvu na limekuwa imara zaidi mbele ya njama na vikwazo vya Marekani.
Habari ID: 3472378    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/16

TEHRAN (IQNA) – Serikali mpya ya mseto nchini Austria imekosolewa kutokana na kufuata sera dhidi ya Waislamu na raia wa kigeni.
Habari ID: 3472377    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/16