TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Quebec Canada unaendelea kukarabatiwa ili kuwawezesha Waislamu wa mji huo kupata eneo salama la ibada.
Habari ID: 3472376 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/16
TEHRAN (IQNA) – Waumini wanarejea katika misikiti mitano ya kihistoira ambayo imekarabatiwa na kuanza kutumiwa baada ya hadi miongo sita.
Habari ID: 3472375 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/15
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetoa taarifa kulalimikia hatua ya utawala wa nchi hiyo kuendelea kumshikilia korokoroni kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3472374 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/15
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa Ivory Coast wamefanya kikao cha kumuenzi na kumkumbuka Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na mashahidi wenzake waliouawa hivi karibuni na askari magaidi wa Marekani nchini Iraq.
Habari ID: 3472373 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/15
TEHRAN (IQNA) – Mwenyekiti wa Baraza la Kiislamu Malaysia (MAPIM) amesema hatua ya Marekani ya kumuua kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Luteni Jenerali Qassem Soleimani ni ugaidi wa kiserikali na ukweli wa mambo ni kuwa Rais Donald Trump wa Marekani ni muuaji.
Habari ID: 3472372 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/14
TEHRAN (IQNA) – Kampeni mpya imezinduliwa huko mjini Dallas, Marekani kwa lengo la kuelimisha umma kuhusu misingi ya mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3472371 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/14
TEHRAN (IQNA) - Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limekosoa ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo wenye kukejeli Uislamu na Waislamu na kusema ujumbe huo unaweza kuhatarisha maisha ya Wamarekani Waislamu na Masingasinga.
Habari ID: 3472370 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/14
TEHRAN (IQNA) – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu Zimbabwe limelaani vikali hatua ya Marekani kutekeleza hujuma ya kigaidi na kumuua Luteni Jenerali Haj Qassem Soleimani na wanamapambano wenzake hasa Abu Mahdi al Muhandis.
Habari ID: 3472369 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/13
TEHRAN (IQNA) - Shirika la Ushirikkiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) limelaani vikali hujuma ya bomu ambayo ililenga msikiti huko Quetta, Pakistan na kupelekea watu kadhaa kuuawa na kujeruhiwa.
Habari ID: 3472368 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/13
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Amir wa Qatar:
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei amesema: Mazingira ya eneo yalivyo hivi sasa yanahitaji zaidi kuliko ya kabla yake kuimarishwa mawasiliano kati ya nchi za eneo na kutokubali kuathiriwa na chokochoko za maajinabi.
Habari ID: 3472366 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/13
TEHRAN (IQNA) - Vikosi vya Kujitolea vya Wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi vimeharibu pango kubwa zaidi la magaidi wa ISIS (Daesh) kaskazini mwa Iraq.
Habari ID: 3472365 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/12
TEHRAN (IQNA) - Kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) limedai kuhusika na hujuma dhidi ya msikiti nchini Pakistan ambapo watu wasiopungua 15 wamepoteza maisha.
Habari ID: 3472364 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/11
TEHRAN (IQNA) - Ofisi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa, hali ya kiafya ya kiongozi huyo anayeshikiliwa gerezani imezidi kuwa mbaya.
Habari ID: 3472363 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/11
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameeleza masikitiko yake kuhusiana na mkasa wa ndege ya abiria ya Ukraine iliyotunguliwa kimakosa karibu na mji wa Tehran ambapo sambamba na kusema kuwa, yuko pamoja na familia zilizopoteza ndugu zao katika mkasa huo wa kuhuzunisha ametoa amri ya kufanyika uchunguzi kuhusiana na uwezekano wa kufanyika uzembe na wahusika kuchukuliwa hatua.
Habari ID: 3472362 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/11
Rais Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kosa la kibinadamu lililotokana na vitisho vya Marekani vya kushambulia maeneo nyeti nchini Iran ndiyo sababu ya kuanguka ndege ya abiria ya Ukraine karibu na Tehran.
Habari ID: 3472361 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/11
TEHRAN (IQNA) -Baraza la Wawakilishi la Marekani limepitisha muswada wa kupunguza mamlaka ya rais wa nchi hiyo Donald Trump katika masuala ya vita.
Habari ID: 3472360 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/10
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa anataraji kwamba Wamarekani watahitimisha hatua zao ghalati, lakini iwapo watatekeleza hatua nyingine iliyo dhidi ya maslahi ya Iran, basi watapata jibu kali mkabala.
Habari ID: 3472359 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/10
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA) - Katibu wa sala ya Ijumaa mjini Tehran amemtaja shahidi Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kuwa ni mratibu wa usalama na amani endelevu kupitia mapambano (muqawama).
Habari ID: 3472358 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/10
TEHRAN (IQNA) - Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza kivitendo ahadi yake ya kutoa jibu kali kwa jinai ya Marekani ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC
Habari ID: 3472357 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/09
TEHRAN (IQNA) - Mbunge Muislamu Marekani apinga sera za Trump dhidi ya Iran na kusema vikwazo na vita vya kiuchumi ni hatua ambazo zinakinzana na sera za kupunguza taharuki.
Habari ID: 3472356 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/09