Waislamu nchini Marekani wanakabiliana na wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia hata baada ya kuwa wamelaani vikali hujuma ya kigaidi mjini Brussels, Ubelgiji Jumanne hii.
Habari ID: 3470215 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/26
Waislamu huko Bosnia Herzegovina wamebainisha kusikitishwa na kifungo cha miaka 40 tu jela alichohukumiwa Radovan Karadzic aliyekuwa kiongozi wa zamani wa Bosnia Serbia ambaye amepatikana na hatia ya kuua Waislamu 7,000.
Habari ID: 3470214 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/25
Khatibu wa Sala ya Ijumaa
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesistiza kuwa taifa la Iran litaendeleza mapambano na halitosalimu amri mbele ya matakwa ya madola ya kibeberu.
Habari ID: 3470213 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/25
Waislamu nchini Marekani Baraza wamemkosoa mgombea uteuzi wa kiti cha rais katika chama Republican Ted Cruz kufuatia matamshi yake ya kutaka Waislamu wafanyiwe msako mkali.
Habari ID: 3470212 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/24
Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza imetangaza kuwa faili la mauaji ya Waislamu katika mji wa Zaria nchini Nigeria limewasilishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko The Hague nchini Uholanzi.
Habari ID: 3470211 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/23
Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Gambia imesema itaheshimu haki za raia na wakaazi wote nchini humo wakiwemo Wakristo na wengine.
Habari ID: 3470210 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/22
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa mkono wa kheri na fanaka Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa kuwadia mwaka mpya wa 1395 Hijria Shamsia.
Habari ID: 3470209 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu kuendelea uadui wa Marekani na taifa la Iran na kusema kuwa, 'Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitalegeza msimamo kuhusu misimamo yake ya kimsingi.'
Habari ID: 3470207 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/20
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa kuanza mwaka mpya wa 1395 Hijria Shamsia akiwapa mkono wa kheri ya mwaka mpya na Nairuzi wananchi wote na Wairani hususan familia tukufu za mashahidi na majeruhi wa vita.
Habari ID: 3470206 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/20
Tarehe 20 au 21 Machi husadifiana na tarehe Mosi Farvardin, siku ya kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia, siku ambayo ni maarufu kama Nowruz au kwa Kiswahili Nairuzi. Kuwadia kwa mwaka mpya wa Hijria Shamsia ambao aghalabu huadhimishwa Iran huenda sambamba na kuingia msimu wa machipuo na mabadiliko katika miti, mimea maua na majani.
Habari ID: 3470204 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/18
Maelfu ya ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wameuawa na makumu maelfu ya wengine kulazimika kuwa wakimbizi kutokana na mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na Mabudha wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3470202 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/17
Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wamewaua watu 22 waliokuwa wakisali katika msikiti mmoja jimboni la Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470201 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/16
Utawala wa Kizayuni wa Israel umenyakua kipande kikubwa cha ardhi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3470200 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/16
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Chuo cha kidini (Hawza) mjini Qum kinapaswa kubakia "Chuo cha Kimapinduzi na Chimbuko la Mapinduzi" na ili kufikia lengo hilo kuna haja ya kuwepo fikra, tadbiri na mpango wa kina."
Habari ID: 3470198 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/15
Mwanazuoni wa Kisunni Uingereza
Mwanazuoni wa Kisunni nchini Uingereza amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh halitafautishi baina ya Shia na Sunni katika kutekeleza jinai dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3470196 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/14
Wanawake Waislamu nchini Marekani wametakiwa kujifunza mbinu za kujilinda na kujihami wanaposhambuliwa kutokana na kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3470195 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/14
Waislamu nchini Marekani
Waislamu nchini Marekani, wamesema kuwa maneno ya chuki dhidi ya dini tukufu ya Kiislamu yanayotolewa na viongozi wa chama cha Republican, ndiyo sababu ya kuongezeka hujuma na mashambulizi dhidi ya Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470193 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wananchi wa Iran wameonesha kivitendo imani yao kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi uliofanyika nchini hivi karibuni.
Habari ID: 3470191 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/11
Imebainika kuwa Sura Yassin katika Qur’ani Tukufu moja ya njia muafaka za kutibu ugonjwa kupoteza fahamu au Alzheimer.
Habari ID: 3470190 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/10
Watu 16 wenye ulemavu wa macho wameshiriki katika mashindano ya kitaifa ya Qur’ani Iran.
Habari ID: 3470189 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/10