Mashindano ya 7 ya kirafiki ya Qur'ani baina ya majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufalme wa Oman yatafanyika hivi karibuni mjini Tehran.
Habari ID: 3470308 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/12
Mashidano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameanza Jumatano usiku mjini Tehran.
Habari ID: 3470306 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/12
Shirika moja la kutoa misaada nchini Uingereza limeanzisha kampeni ya matangazo yenye mabango ya 'Subhan Allah' kwa ajili ya kushajiisha watu watoe misaada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470304 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/10
Mamia ya Wapalestina wameandamana katika Ukanda wa Ghaza kulaani mzingiro wa kibaguzi wa takriban mwongo mmoja uliowekwa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3470303 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/09
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, usalama katika jamii una nafasi muhimu katika ustawi wa kiuchumi.
Habari ID: 3470301 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/08
Jamii ya kimataifa imeingiwa na wasiwasi kutokana na kushahidi jinai za utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3470299 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/07
Sadiq Khan wa chama kikuu cha upinzani cha Leba nchini Uingereza amechaguliwa kuwa Meya wa mji wa London na hivyo kuwa Meya wa kwanza Mwislamu kuuongoza mji huo mkuu.
Habari ID: 3470297 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/07
SayyidHassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya nchini Lebanon Hizbullah amesema utawala wa Saudi Arabia unatekeleza njama dhidi ya mapambano ya Kiislamu katika eneo.
Habari ID: 3470296 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/06
Tarehe 27 Rajab 'Mwaka wa 40 wa Ndovu au 'Aamul Fiyl', Muhammad SAW alikuwa ameenda katika milima ya kaskazini mwa Makka kunong'ona na Mola wake.
Habari ID: 3470293 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04
Mikutano wa "Wanafunzi Waislamu, Dunia Isiyo na Machafuko" na mwingine wa "Nafasi ya Wasomi wa Utamaduni Katika Ulimwengu wa Kiislamu ili Kufikia Dunia Isiyo na Machafuko" imepangwa kufanyika wiki ijayo nchini Senegal.
Habari ID: 3470292 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04
Mwanazuoni wa Kiislamu nchini Nigeria Dr Abdullateef Abdulhakeem ametoa wito kwa Waislamu kuzingatia zaidi msikiti si tu kama sehemu ya kusimamisha sala bali pia kituo cha kurekebisha jamii.
Habari ID: 3470291 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04
Habari ID: 3470290 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitizia umuhimu wa kuendelezwa uhusiano imara na usioweza kuathiriwa na vikwazo na uhasama wa Marekani baina ya Iran na Korea Kusini.
Habari ID: 3470289 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/03
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia wajibu wa kulelewa kizazi cha vijana wa Iran katika msingi wa kuwafanya wajitegemee na wapende kuwa na heshima ya kidini na kusimama imara kupambana na madola ya kibeberu.
Habari ID: 3470287 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/03
Mashindano ya 58 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia yameanza Jumatatu katika mji wa Kuala Lumpur nchini humo.
Habari ID: 3470285 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/02
Mwanachama mwandamizi wa chama cha Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amesema serikali inataka kurekodi na kufanya ujasusi kuhusu hotuba katika misikiti nchini humo.
Habari ID: 3470284 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/02
Wanawake Waisalmu wa madhehebu za Shia na Suni nchini Marekani wamefanya kongamano maalumu kwa lengo la kuimarisha umoja wa Kiislamu baina yao.
Habari ID: 3470282 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01
Watu wa Bahrain wamefanya maandamano wakitangaza mfungamano wao na wafungwa wengine wa kisiasa nchini humo.
Habari ID: 3470281 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01
Mahakama ya Nigeria imeunda tuma ya uchunguzi kuhusu mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu Desemba 2015.
Habari ID: 3470280 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01
Bintiye Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, amebainisha namna jeshi la Nigeria lilivyowaua Waislamu mwaka jana katika mji wa Zaria.
Habari ID: 3470279 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/30