iqna

IQNA

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema Saudia inaweka vizuizi ili Wairani wasishiriki katika ibada ya Hija ya mwaka huu.
Habari ID: 3470278    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/29

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia atahadharisha
Russia imetahadharisha kuwa mgogoro was asa nchini Syria huenda ukaibua mgawanyiko mkubwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470277    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/28

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hatua ya Wamarekani ya kung'ang'ania kuiwekea vikwazo mbalimbali Iran ni njama za kueneza chuki na kulifanya taifa hili liogopwe na kwamba.
Habari ID: 3470276    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/28

Mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Mfumo wa Kifedha wa Kiislamu utafanyika wiki ijayo Tehran, mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470275    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/27

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kufikiwa bila ya kuwepo kigezo cha maendeleo cha Kiislamu.
Habari ID: 3470273    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/26

Nchi 25 zimethibitisha kushiriki katika awamu ya kwanza ya ashindano ya Kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa walemavu wa macho nchini Iran.
Habari ID: 3470272    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/25

Awamu ya 33 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itafanyika kwa kauli mbiu ya "Kitabu Kimoja, Ummah Moja".
Habari ID: 3470271    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/25

Kiongozi Muadhamu katika Mkutano na Rais wa Afrika Kusini
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nchi huru zinapaswa kushirikiana kadiri inavyowezekana licha ya kuweko njama za kila namna za baadhi ya madola ya kibeberu.
Habari ID: 3470269    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/24

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuimarishwa uhusiano wa nchi hii na Afrika Kusini katika setka mbali mbali.
Habari ID: 3470268    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/24

Idadi ya watoto wadogo wa Kipalestina wanaozuiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa kizayuni wa Israel imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu Oktoba mwaka uliopita wa 2015.
Habari ID: 3470267    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/24

Rais Rouhani
Ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa dunia ni kuwa na kadiri na wastani katika mambo.
Habari ID: 3470266    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23

Watu wasiopungua 11 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti mmoja katika eneo la Radwaniyah kusini magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Habari ID: 3470264    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23

Mahakama ya Rufaa ya Mauritania imeidhinisha hukumu ya kifo dhidi ya mwandishi aliyemvunjia heshima Mtume Muhammad (saw).
Habari ID: 3470263    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23

Amnesty International
Jeshi la Nigeria liliwaua mamia ya Waislamu nchini Nigeria na kuwazika katika kaburi la umati wakiwemo baadhi waliokuwa hai mwezi Desemba mwaka jana, imefichua Amnesty International.
Habari ID: 3470262    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/22

Kundi la wanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini Uingereza limeanzisha wimbi kubwa la malalamiko katika mitandao ya kijamii likitaka kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky
Habari ID: 3470261    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/21

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ili kukabiliana na vita laini vya kambi ya Uistikbari kuna haja ya kuwandaa na kuwalea vijana wanamapinduzi na wenye azma na irada imara.
Habari ID: 3470260    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/20

Serikali ya Uswisi imesitisha mchakato wa kuzipa uraia familia mbili za Waislamu ambao watoto wao wawili wa kiume mabarobaro walikataa kuwapa mikono walimu wao wa kike.
Habari ID: 3470257    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/20

Rais Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa kubwa la Iran limefelisha njama za madola makubwa na Wazayuni za kueneza chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya Iran.
Habari ID: 3470256    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/19

Habari ID: 3470254    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/19

Maulamaa wa madhehebu ya Shia nchini Bahrain wametoa taarifa na kulalamikia hatua ya utawala wa kifalme nchini humo kuwakamata maulamaa wa Kiislamu na maimamu wa misikiti.
Habari ID: 3470253    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/18