iqna

IQNA

Umoja wa Mataifa umesema watoto 10,000 nchini Yemen walio chini ya umri wa miaka mitano wamepoteza maisha kutokana na sababu za kivita nchini humo.
Habari ID: 3470355    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/03

Ijumaa hii Wairani na wapenda haki duniani wanakumbuka siku ya kufariki dunia Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye alikuwa na nuktaa za kipekee katika uongozi wake.
Habari ID: 3470353    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/02

Uchunguzi wa Maoni
Zaidi ya thuluthi moja ya Wamarekani na karibu nusu ya wananchi wa Uingereza wanaunga mkono kususiwa na kuwekewa vikwazo utawala wa kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470351    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/01

Maonyesho ya 24 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yanatazamiwa kuanza mjini Tehran katika siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3470349    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/31

Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani hatua ya Saudia kuwazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu na kusema hatua hiyo ni kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470348    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/31

Genge la Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakipata himaya ya askari wa utawala haramu wa Israel wameuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3470347    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/30

Siku chache zimesalia kabla ya kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Waislamu wanajitayarisha kuukaribisha mwezi huo na kutekeleza ibada ya Saumu au kufunga.
Habari ID: 3470346    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/30

Chuki dhidi ya Uislamu
Kundi la wanaume jimboni Texas nchini Marekani wanapata mafunzo maalumu kwa ajili ya kuwaua Waislamu huku wakitumbukiza risasi zao katika damu au mafuta ya nguruwe katika mazoezi hayo.
Habari ID: 3470345    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/29

Saudi Arabia imeweka vizingiti na kuwazuia wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3470344    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/29

Sheikh Ahmad Tayyib, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri amesema chuo hicho kitaanzisha televisheni ya satalaiti itakayorusha matangazo kwa lugha za Kiingereza na Kifaransa ili kuwasilisha taswira sahihi ya Uislamu katika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3470343    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/29

Idara ya Utamaduni ya Iran nchini Uganda imefadhili mashindano ya Qur'ani Tukufu katika Televisheni ya Kitaifa ya Uganda, UBC.
Habari ID: 3470342    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/28

Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesisitiza kuwa utawala wa Aal Saud haustahiki kusimamia Haram Mbili Tukufu za Makka na Madina.
Habari ID: 3470341    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/28

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema njia pekee ya kuufanya Mfumo wa Kiislamu udumu na kupiga hatua mbele na kufikiwa malengo ya Mapinduzi ni 'nchi kuwa na uwezo halisi' na kutekelezwa 'jihadi kubwa', yaani kutomtii adui.
Habari ID: 3470340    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/27

Mkutano wa Kimataifa wa Vyombo vya Habari vya Kiislamu (ICIM) umefunguliwa Jumatano nchini Indonesia.
Habari ID: 3470339    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/26

Katika kuendelea chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya, chama kimoja cha kisiasa Ujerumani kimependekeza kuzuiwa ujenzi wa misikiti nchini humo.
Habari ID: 3470338    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/26

Kiongozi wa Hizbullah
Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio tishio kuu kwa usalama na amani Mashariki ya Kati
Habari ID: 3470337    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/26

Watu 8 waliokuwa wamingia msikitini kupata hifadhi wameuawa katika hujuma ya watu waliokuwa na silaha katika eneo la El Geneina katika eneo la Darfur Magharibi mwa Sudan.
Habari ID: 3470336    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/25

Kiongozi wa Kikristo nchini Samoa ameitaka serikali ya nchi hiyo ya Bahari ya Pasifiki kuupiga marufuku Uislamu.
Habari ID: 3470335    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/25

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kusimama kidete, kutomfuata adui na kulinda utambulisho wa kimapinduzi na Kiislamu ni sababu kuu za kuwa na nguvu mfumo wa Kiislamu na taifa la Iran na kwamba, Marekani na madola mengine makubwa yamekasirishwa mno na jambo hili.
Habari ID: 3470334    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amemzawadia Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei nakala ya kale ya Qur'ani inayonasibishwa na Imam Ali Ali AS.
Habari ID: 3470333    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24