Maulamaa wa madhehebu ya Shia nchini Bahrain wametoa taarifa na kulalamikia hatua ya utawala wa kifalme nchini humo kuwakamata maulamaa wa Kiislamu na maimamu wa misikiti.
Habari ID: 3470253 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/18
Mkuu wa Idara ya Utamaduni ya Iran mjini Kampala amekutana na Mufti Mkuu wa Uganda na kujadilia njia za kushirikiana nchi mbili katika harakati za Qur'ani.
Habari ID: 3470252 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/18
Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nguvu na uwezo wa Iran hauko dhidi ya majirani na nchi za ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470251 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/17
Askari wa utawala wa kidikteta wa Bahrain wamemtia mbaroni Sheikh Muhammad al-Mansi, aalimu mashuhuri wa nchi hiyo kwa kosa la kusalisha Sala ya jamaa.
Habari ID: 3470250 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/17
Rais Hassan Rouhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano baina ya nchi za Kiislamu ni kati ya vipaumbele vya awali vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470247 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/15
Serikali ya Nigeria imekiri kuwazika Waislamu 347 wa madhehebu ya Shia katika kaburi la umati mwezi Desemba mwaka 2015.
Habari ID: 3470245 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/13
Mwanafunzi wa zamani wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, amebainisha wasiwasi wake kuhusu hali ya kiafya ya mwanazuoni huyo.
Habari ID: 3470243 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema ili kupambana na hatari ya ugaidi na muamala wa kindumakuwili wa madola makubwa, kuna haja kwa nchi za Kiislamu kuongeza ushirikiano wao katika fremu ya siasa za kutimia akili na za kimantiki.
Habari ID: 3470242 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11
Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu Misri ameonya kuwa itikadi potovu ya Uwahhabi inaenea Misri na hivyo kuhatarisha Uislamu wa wastani nchini humo.
Habari ID: 3470240 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11
Ayatullah Ali Khamenei
Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kutiliwa nguvu uwezo wa operesheni za kijeshi na misukumo ya kimaanawi na kidini ya vikosi vya ulinzi vya Iran.
Habari ID: 3470238 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/10
Viongozi waandamizi wa utawala ghasibu wa Kizayuni wa Israel wamezidi kuonesha ukatili wao baada ya kushindwa kukabiliana na Intifadha ya Quds
Habari ID: 3470237 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/09
Ban Ki-moon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, amesema Waislamu ni waathirika wakuu wa ugaidi duniani.
Habari ID: 3470236 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/09
Walowezi wa Kizayuni wasiopungua 1,000 waliokuwa wakisindikizwa na askari wa utawala haramu wa Israel wamevamia na kulivunjia heshima kaburi la Nabii Yusuf (AS), ziara linaloheshimiwa na Wayahudi, Wakristo na Waislamu.
Habari ID: 3470234 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/08
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemtunuku nishani ya juu Salah Farah marehemu mwalimu Mwislamu aliyepigwa risasi akiwakinga Wakristo wasiuawe na magaidi wa Al Shabab.
Habari ID: 3470225 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/02
Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umetoa matibabu kwa magaidi wa kitakfiri zaidi ya 2,100 wanaopigana ndani ya Syria kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo.
Habari ID: 3470224 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/01
Viongozi wa utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia wamepiga marufuku kutangazwa adhana katika misikiti ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mkoa wa Al-Hasa, mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470222 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/01
Mfalme Abdullah II wa Jordan ameituhumi Uturuki kuwa inahimiza misimamo mikali eneo la Mashariki ya Kati sambamba na kueneza magaidi bara Ulaya.
Habari ID: 3470219 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/28
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulio ya hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
Habari ID: 3470218 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/28
Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano katika miji kadhaa wakipinga kuendelea kuwekwa kizuizini Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN).
Habari ID: 3470217 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/27
Maelfu ya Wabangladesh wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo kupinga njama za kutaka Uislamu usitambuliwe kuwa dini rasmi ya nchi hiyo.
Habari ID: 3470216 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/26