Fasihi
IQNA – Mohammad Anani alikuwa profesa wa tarjama au tafsiri na fasihi ya Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Cairo na mmoja wa watafsiri au watarjumi mashuhuri zaidi katika ulimwengu wa Kiarabu. Lugha ya Qur'ani inaonekana dhahiri katika tafsiri zake, kana kwamba Qur'ani inapita kwa upole kupitia maandiko yote aliyoyatafsiri.
Habari ID: 3480072 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/18
Utamaduni
IQNA - Siku ya Kimataifa ya Sanaa ya Kiislamu ni maadhimisho ya juhudi zinazofanywa na wasanii wa Kiislamu kukuza mafundisho ya Kiislamu, Mwambata wa Utamaduni wa Iran huko Bosnia na Herzegovina amesema.
Habari ID: 3479794 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/23
Diplomasia
IQNA - Utamaduni ni kitovu cha utambuzi wa utu wa binadamu na haki za kimsingi za binadamu, amesema mwambata wa utamaduni wa Iraq nchini Iran.
Habari ID: 3479745 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/13
Dubai (IQNA) Maonyesho ya kila miaka miwili ya sanaa ya Kaligrafia ya Kiislamu huko Dubai yalianza kazi yake kwa uwepo wa wasanii 200 kutoka nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3477691 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/05
Ustaarabu wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Maonyesho yamefunguliwa Abu Dhabi nchini UAE, yakionyesha nyaraka zinazobainisha mchango wa Uislamu katika elimu na, ustaarabu na utamaduni duniani na hasa bara Ulaya.
Habari ID: 3476299 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/24
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Akademia ya Elimu, Utamaduni na Utafiti Iran (ACECR) amesema academia hiyo inapaswa kuongoza duniani katika ustawi wa sayansi na teknolojia.
Habari ID: 3473037 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Misri, Cairo na mji wa kale wa Bukhara nchini Uzbekistan imetangazwa kuwa miji mikuu ya utamaduni katika ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2020.
Habari ID: 3472288 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/20
Ujumbe wa Nairuzi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu kwa wananchi wa Iran kwa mnasaba wa kuingia mwaka mpya wa 1393 Hijria Shamsia na kuuita mwaka huo kwa jina la mwaka wa "Uchumi na Utamaduni wenye Azma ya Kitaifa na Uongozi wa Kijihadi."
Habari ID: 1389135 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/21