iqna

IQNA

Ramadhani katika Qur’an/1
IQNA – Qur’ani Tukufu inataja neno Ramadhani mara moja na hilo lipo katika Aya ya 185 ya Surah Al-Baqarah.
Habari ID: 3478504    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/14

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya pili ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478500    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/13

Ramadhani Palestina
IQNA - Waislamu wa Palestina huko Gaza wamebakia imara katika Imani na hivyo wana azma ya kutekeleza ibada zote za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kukusanyika katika mabaki ya misikiti iliyoharibiwa na mabomu ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3478485    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Mahakama kuu ya Saudi Arabia imetoa wito kwa watu wa nchi hiyo kujaribu kufanya Istihlal (kuutafuta mwezi mwandamo) Jumapili jioni.
Habari ID: 3478480    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Msururu wa kozi za mafunzo zimefanyika hivi karibuni ili kuwafundisha wanawake 1,352 wanaojitolea kuwasaidia waumini wanaoelekea kwenye Msikiti wa Mtume yaani Al-Masjid an-Nabawi, eneo la pili kwa utakatifu katika Uislamu, katika mji wa Madina, Saudi Arabia.
Habari ID: 3478473    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/09

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Fanous (taa) imekuwa ishara ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika baadhi ya nchi kwa mamia ya miaka. Taa hii pia ni maarufu kama Fanous Ramadhan.
Habari ID: 3478470    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08

Hali ya Palestina
IQNA - Mashambulio yasiyokoma ya utawala katili wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza uliozingirwa yamewanyima Waislamu duniani furaha ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478469    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08

Umrah
IQNA – Waislamu wanaotekeleza Hija ndogo Umrah ndio pekee wataruhusiwa kufanya Tawaf (kuzunguka Kaaba Tukufu) katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al-Haram, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478465    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07

Kadhia ya Palestina
IQNA - Msemaji wa Harakati ya Ansarullah inayotawala Yemen amesisitiza kwamba jambo muhimu zaidi kwa Waislamu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni uungaji mkono kwa Wapalestina wanaoteseka huko Gaza.
Habari ID: 3478464    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07

Ramadhani
IQNA - Barabara kuu ya kati huko Frankfurt, Ujerumani, itapambwa kwa taaza zenye nembo za hilali nyota na mapambo mengine kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478463    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07

Kadhia ya Palestina
IQNA - Utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina umetangaza siku ya Jumanne kwamba utawaruhusu waumini kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika eneo la Quds (Jerusalem) katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Ramadhani, na hivyo kutupilia mbali mpango wa awali wa kuweka vizuizi.
Habari ID: 3478461    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Mazulia katika Al-Rawdah Al-Sharifa katika Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) huko Madina yamebadilishwa kwa ajili ya maandalizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478460    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, Misri inapanga kutuma wasomaji Qur'ani na wahubiri katika nchi mbalimbali katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3478459    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Tovuti ya kielektroniki imezinduliwa nchini Saudi Arabia ambapo watu wanaweza kuomba vibali vya kula futari kwa makundi kwenye Msikiti Mkuu wa Makaa
Habari ID: 3478455    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Misikiti nchini Misri inatayarishwa kuwakaribisha waumini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478436    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Zaidi ya milo ya Iftar (futari) milioni 8.5 itagawiwa kwa waumini katika Msikiti wa Mtume SAW, Al Masjid An Nabawi huko Madina wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478338    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/11

Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
IQNA - Serikali ya Maldives imetangaza siku kumi za mwisho za mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa siku za likizo rasmi kwa wafanyakazi wa sekta ya umma.
Habari ID: 3478313    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/06

Utalii wa Kiislamu
IQNA - Mpango umezinduliwa nchini Malaysia ili kuvutia watalii wa ndani na nje katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478210    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18

Mawaidha
Tehran (IQNA) - Kudumisha hali ya kiroho ambayo Mwislamu ameipata wakati wa mwezi uliobarikiwa wa Ramadhani kunahitaji kutumia miongozo iliyojengeka roho ya mtu binafsi na mawaidha ya wanazuoni wa kidini.
Habari ID: 3476909    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/24

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3476869    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/15