iqna

IQNA

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476751    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/24

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Mwezi uliobarikiwa wa Ramadhani ni wakati Mwenyezi Mungu Mtukufu alipoteremsha Qur’ani Tukufu kwa Mtume Muhammad (SAW) kama mwongozo kwa wanadamu.
Habari ID: 3476746    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/23

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Nchi nyingi za Kiislamu katika eneo la Asia Magharibu au Mashariki ya Kati zimetangaza Alhamisi, Machi 23, kuwa mwanzo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476741    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/22

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Mamia ya Wapalestina wakazi wa mji wa Al Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel wameanzisha kampeni ya kuusafisha Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa sambamba na kukaribia mwandamo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476728    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/19

Mwezi wa Ramadhani
Tehran (IQNA)- Uzingatiaji mila na desturi za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaweza kuwa mgumu kwa Waislamu wengi wanaoishi katika nchi zisizo za Kiislamu; Kwa hivyo, program au apu za simu za mkononi zimeundwa kwa ajili ya kuwahudumia.
Habari ID: 3476725    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/18

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Darul Qur'an al-Karim ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapanga kufanya duru 2,500 za usomaji wa Qur'ani nchini wakati wa mwezi mtukufu ujao wa Ramadhani.
Habari ID: 3476712    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/16

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Programu ya Nusuk iko wazi kutoa vibali vya Hija ndogo ya Umrah wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Saudi Arabia inasema.
Habari ID: 3476688    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/10

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Muhammad Mukhtar Jumaa alisema misikiti nchini humo iko tayari kuwapokea waumini ajili ya Sala za kila siku na ibada nyinginezo katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476668    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/06

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Msikiti Mkuu wa Glasgow, Scotland nchini Uingereza umetangaza ratiba ya shughuli za ibada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu wa 1444 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3476649    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/03

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Huku mwezi mtukufu wa Ramadhani ukitazamiwa kuanza Machi 23, Wizara ya Wakfu ya Kuwait imeanza maandalizi yake ya awali ya kuupokea mwezi huu mtukufu, na kuandaa misikiti kwa ajili ya kupokea maelfu ya waumini kuswali sala ya Taraweh na sala nyingine za jamaa katika mwezi huu.
Habari ID: 3476561    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14

Mwezi wa Ramadhanii
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua kampeni ya kusafisha misikiti nchini humo kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476560    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa salamu za Ramadhan viongozi wa nchi za Kiislamu duniani huku akiwa na matumaini kuwa, kwa baraka za mwezi huu mtukufu Waislamu duniani wataungana.
Habari ID: 3475092    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/04

Muongozo wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni fursa kwa Waislamu kustawisha mtindo wa Kiislamu maishani.
Habari ID: 3473839    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/22

TEHRAN (IQNA)- Nara ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka hii itakuwa ni “Tunakaribia Quds Zaidi ya Wakato Wowote Mwingine”.
Habari ID: 3473833    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/20

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kimataifa Kimataifa cha Nujumu (IAC) chenye makao yake mjini Abu Dhabi kimetangaza kuwa makadirio yanayoonyesha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1442 Hijria Qamaria utaanza Aprili 13 2021.
Habari ID: 3473783    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/04

TEHRAN (IQNA) – Mwanachama wa Kamati ya Hilali ya Mwezi nchini Iran amesema hilali ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani haitazamiwi kuonekana Alhamisi Aprili 23.
Habari ID: 3472695    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/23

TEHRAN (IQNA) – Shirika la Hilali Nyekundu la Uturuki limetangaza mpango wa kuwasaidia Waislamu 10 nchini Uturuki na maeneo mengine duniani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472674    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/17

TEHRAN (IQNA) – Afisa mmoja wa kidini nchini Saudi Arabia amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa Sala ya tarawih haitasaliwa katika misikiti ya nchi hiyo ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona au COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3472655    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/11