IQNA – Usajili umefunguliwa kwa toleo la 30 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikh Jassim bin Muhammad bin Thani nchini Qatar.
Habari ID: 3481388 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/20
IQNA – Tarehe 15 Oktoba, katika Msikiti Mkuu wa Astana, Kazakhstan, mashindano ya pili ya Kimataifa ya Usomaji na Kuhifadhi Qur'an Tukufu yamekamilika, yakileta pamoja washiriki 22 kutoka mataifa 21. Tukio hili limeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Wizara ya Mambo ya Kiislamu ya Saudi Arabia na Mamlaka ya Kiroho ya Waislamu wa Kazakhstan.
Habari ID: 3481374 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/17
IQNA – Mashindano ya kwanza ya Qur'ani na Sunnah yameanza rasmi nchini Brazil, katika bara la Amerika ya Kusini.
Habari ID: 3481364 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/13
IQNA – Baada ya kufanikisha toleo la kwanza la mashindano ya Qur'ani ya ‘Zayin al-Aswat’ nchini Iran, waandaaji wamepanga kuongeza makundi mapya katika tukio hili mashuhuri.
Habari ID: 3481348 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/10
IQNA – Afisa wa kamati ya maandalizi ya mashindano ya kwanza ya Qur'ani ya Zayin al-Aswat amesema kuwa lengo kuu la tukio hilo la Qur'an ni kutambua, kulea, na kuandaa vipaji mahiri vya vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.
Habari ID: 3481328 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/04
IQNA – Mchujo wa awali wa usomaji kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu umekamilika, ambapo kazi kutoka nchi 36 zimepitiwa.
Habari ID: 3481104 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/19
IQNA – Washindi wa upande wa wanaume katika awamu ya kimkoa ya Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran, yaliyofanyika Tehran, wametangazwa rasmi katika hafla ya kufunga mashindano hayo na kukabidhiwa vyeti vya heshima pamoja na zawadi za fedha.
Habari ID: 3481028 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/01
IQNA – Wizara ya Wakfu ya Syria imeandaa mashindano ya kwanza nchini humo ya kukamilisha usomaji wa Qur’ani nzima kwa siku moja, yakivutia mamia ya wahifadhi wa kiume na wa kike katika misikiti mitatu mikubwa kwenye mji mkuu.
Habari ID: 3480723 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/23
IQNA – Usajili umeanza rasmi kwa toleo la nane la mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa wafanyakazi nchini Iran.
Habari ID: 3480515 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/08
Qur'ani Tukufu
IQNA – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yanaendelea katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq, yakishirikisha wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu (Hauza) au seminari kutoka nchi 10 za Kiislamu.
Habari ID: 3480078 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/19
IQNA - Washindi wakuu wa toleo la 32 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman wametajwa.
Habari ID: 3479882 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09
IQNA - Qari kijana ambaye anashiriki katika toleo la 47 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema mafanikio yake ya Qur'ani ni baraka kutoka kwa Allah (SWT).
Habari ID: 3479880 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09
Nchini Saudi Arabia
Shirika la Awqaf na Misaada la Iran limewataja wahifadhi wawili kwa ajili ya kuiwakilisha nchi hiyo katika makala ya 44 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia.
Habari ID: 3479026 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani katika jimbo la Sabah nchini Malaysia yamezinduliwa katika mji wa Kota Kinabalu Jumatano
Habari ID: 3478727 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/24
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Misri inaandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wenye vipaji maalumu lengo likiwa ni kukuza utamaduni wa Kiislamu.
Habari ID: 3478716 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jopo la waamuzi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yanayoendelea Port Said, Misri, limewataja washindi wa duru ya kwanza.
Habari ID: 3478314 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/06
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 24 YA Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yalianza Jumamosi jioni.
Habari ID: 3478165 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Hatua ya awali ya Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itaanza wikendi hii.
Habari ID: 3478095 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/26
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Tehran imeandaa shindano la kuchagua wawakilishi wa Iran katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa shule.
Habari ID: 3478029 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13
Mashindano ya Qur''ani
TEHRAN (IQNA) – Qari wa Misri ametwaa taji la toleo la pili la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya "Awal Al Awail" nchini Qatar.
Habari ID: 3477886 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/13