iqna

IQNA

Mashindano ya 7 ya kirafiki ya Qur'ani baina ya majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufalme wa Oman yatafanyika hivi karibuni mjini Tehran.
Habari ID: 3470308    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/12

Mashidano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameanza Jumatano usiku mjini Tehran.
Habari ID: 3470306    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/12

Nchi 74 zitatuma wawakilishi katika Mashidano ya Kimataifa ya Qur'ani ambayo yanaanza wik hii, Tehran mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470302    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/09

Mwakilishi wa Iran katika awamu ya 7 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Kuwait ameshika nafasi ya tatu katika kitengo cha qiraa.
Habari ID: 3470258    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/20

Duru ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa walemavu wa macho yatafanyika Tehran sambamba na mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya kila mwaka.
Habari ID: 3470246    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/13

Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Jordan kwa ajili ya wanawake yameanza Jumapili kwa kuhudhuriwa na Waziri wa Awqaf nchini humo pamoja na mabalozi wa nchi kadhaa.
Habari ID: 3470239    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11

Mashindano ya 38 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran yamemalizika Jumamosi usiku katika hafla iliyofanyika mjini Kermanshah mashariki mwa nchi.
Habari ID: 3469906    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/27

Wairani zaidi ya milioni 1.2 wanashiriki katika Mpango wa Kitaifa ya Kuhifadhi Qur'ani tukufu chini ya usimamizi wa Shirika la Awqaf la Iran.
Habari ID: 3468284    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22

Awamu ya 38 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameanza Jumamosi hii katika mji wa Kermanshah magharibi mwa nchi.
Habari ID: 3466837    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/19

Duru ya 10 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Bosnia na Herzegovina yamefanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Sarajevo.
Habari ID: 3458214    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29

Awamu ya 23 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yatafanyika hivi karibuni katika mji wa Sharm el Sheikh mkoa wa Sinai.
Habari ID: 3457049    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25

Wizara ya Awqaf nchini Syria imewatangaza washindi wa Awamu ya 16 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3362917    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/15

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu yamefanyika hivi karibuni nchini Zimbabwe kwa usimamizi wa Baraza Kuu la Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3362910    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/15

Mashindano ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu yamefanyika nchini Morisi (Mauritius) katika vitengo viwili vya wanawake na wanaume.
Habari ID: 3361685    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/12

Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yamefanyika nchini Burundi kwa kuhudhuriwa na makumi ya washiriki.
Habari ID: 3361069    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/10

Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yamefanyika Afrika Kusini kwa usimamizi wa Idara ya Masuala ya Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3357512    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/02

Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Kuwait yameanza Jumatatu hii.
Habari ID: 3356079    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/01

Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa ajli ya wanawake yamefanyika Ijumaa hii katika Shule ya Kiislamu ya Beni huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mkoani Kivu Kusini.
Habari ID: 3329125    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/19

Iran itashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Sudan.
Habari ID: 3327976    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/14

Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Dubai yameanza Jumatano hii usiku katika mji huo wa Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3318398    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/24