iqna

IQNA

Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Uingereza yamepangwa kufanyika mwezi ujao nchini humo yakiwashirikisha vijana wa Kiislamu.
Habari ID: 1439998    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/17

Waziri wa Masuala ya Kidini na Wakfu wa Algeria ametangaza kuwa nchi 43 zitashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yaliyopangwa kufanyika nchini humo.
Habari ID: 1422666    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/25

Iwapo Waislamu wa maeneo yote duniani wataweka kando migongano yao na kushikamana na Kamba ya Allah, yaani Qur'ani Tukufu, basi ulimwengu wa Kiislamu utashuhudia ustawi mkubwa na wa kasi katika nyanja zote.
Habari ID: 1412786    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/31

Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yameanza siku ya Jumatatu mjini Tehran katika mkesha wa siku kuu ya kukumbuka wakati Mtume Mtukufu wa Uislamu Muhammad Mustafa SAW alipobaathiwa yaani kupewa Utume na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 1411469    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/27

Mashindano ya Qur’ani nchini Kenya yameingia wiki yake ya pili kwa kufanyika awamu ya mchujo katika Masjid Kambi eneo la Kibra katika mji mkuu, Nairobi.
Habari ID: 1390167    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/31