iqna

IQNA

Abdulbasit
Qiraa ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Nureddin Ibrahim ni kijana wa Misri ambaye anajulikana kwa uwezo wake wa ajabu kuiga mitindo ya usomaji wa Qur’ani ya maqarii maarufu duniani.
Habari ID: 3477099    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/04

Usomaji Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Ifuatayo ni klipi ya zamani ya marhum Qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu wa Misri Ustadh Abdul Basit Abdul Samad akisoma aya za 103-104 za Sura Al-Imran.
Habari ID: 3475999    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/28

TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu ya Sheikh Abdul-Basit akisoma aya ndefu zaidi katika Qur’ani Tukufu imeenea katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473365    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/16

TEHRAN (IQNA)- Klipu iliyopo hapa chini ni ya qarii maarufu wa Misri Sheikh Abdul Basit Abdul Samad akisoma Surah Al Qadr ya Qur'ani Tukufu mwaka 1965 katika Msikiti Imam Hussein (AS) mjini Cairo.
Habari ID: 3473212    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/28

TEHRAN (IQNA) Klipu ya zamani na nadra ya Sheikh Abdul Abasit Abdulswamad akisoma Surat Al-Qadr imesambaa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473054    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10

TEHRA (IQNA) – Klipu ya video imesmabazwa hivi karibuni ya qiraa ya Surah Al-Infitar ya Qur'ani Tukufu ya marhum Sheikh Abdul-Basit Abdul-Swamad.
Habari ID: 3472958    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/13

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Qur'ani nchini Misri, Sheikh Abdul Basit Abdul Samad, ambaye aliaga dunia mwaka 1988, alikuwa maarufu kwa kusoma Qur'ani kwa sauti laini na aliwavutia wengi duniani.
Habari ID: 3472845    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/07

TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu ya video ya qiraa ya Qur’ani Tukufu ya Ustadh Abdul Basit Abdul Samad imesambaa katika intaneti.
Habari ID: 3472698    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/24