jeshi

IQNA

IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa limeendesha oparesheni kubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani (droni) dhidi ya vituo nane vya kijeshi vya Marekani katika kanda hii, likiitaja hatua hiyo kuwa “jibu madhubuti” dhidi ya uchokozi mpya wa Marekani kwenye ardhi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3482414   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/28

IQNA-Jeshi la Yemen limetangaza kuwa liko tayari kuingilia moja kwa moja kijeshi iwapo pande nyingine zitaungana na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mhimili wa Muqawama.
Habari ID: 3482096   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/28

IQNA – Wanaharakati wa Kiislamu wa Rohingya wamekutana na viongozi wa dunia katika mkutano wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki hii, wakitoa ushuhuda wa kusikitisha kuhusu mateso na ukatili unaoendelea.
Habari ID: 3481313   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/01

IQNA-Jeshi la majini la utawala ghasibu wa Israel limeiteka meli ya misaada iliyokuwa ikielekea Ukanda wa Gaza, ikiwa na bendera ya Uingereza, katika harakati za kuvunja mzingiro mkali wa eneo hilo unaoendelea tangu mwaka 2007.
Habari ID: 3481010   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/27

IQNA-Jeshi la Yemen limeshambulia meli nyingine iliyokuwa inaelekea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina 'Israel', ili kuwaunga mkono Wapalestina wanaokabiliwa na mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3480923   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/10

IQNA -Majeshi ya Yemen yamelenga kwa mafanikio uwanja mmoja wa ndege wa Israel na manuwari ya Marekani yenye uwezo wa kusheheni ndege za kivita katika mashambulizi ya makombora siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3480434   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/25

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Hatua ya mwisho ya Mashindano ya 42 Qur'ani Tukufu ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) yamezinduliwa katika mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478071   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/21

Tahariri
TEHRAN (IQNA)- Nchini Sudan hali si shwari ambapo habari kutoka nchini humo zinaonyesha kuendelea mapigano kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya radiamali ya haraka na kuzusha wasiwasi wa kutokea mapinduzi katika nchi hiyo ya Kiafrika.
Habari ID: 3476879   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/16

TEHRAN (IQNA)- Milio ya risasi na milipuko imesikika katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, baada ya siku kadhaa za mvutano kati ya kikosi cha radiamali ya haraka na jeshi la nchi hiyo.
Habari ID: 3476873   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/15

Rais Ebrahim Raisi katika gwaride la Siku ya Jeshi
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwezo wa majeshi ya Iran ni uwezo wa kumzuia adui na kuongeza kuwa, uchokozi hata mdogo zaidi wa maadui kama vile utawala wa Kizayuni wa Israel hautafumbiwa macho na vikosi vya ulinzi vya Iran.
Habari ID: 3475137   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18

TEHRAN (IQNA)- Mtu moja ameuawa jana Sudan wakati maelfu ya wananchi walipoandamana katika mji mkuu Khartoum na miji mingine mikubwa nchini humo kupinga utawala wa kijeshi nchini humo.
Habari ID: 3474875   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/31

Brigedia Jenerali Mohammad Baqeri
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Kamandi ya vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, "hatujaghafilika hata kwa lahadha na sekunde moja kustawisha uwezo wa kiulinzi na nguvu za kijeshi za kuzuia hujuma dhidi ya nchi."
Habari ID: 3474675   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA)- Jeshi Sudan ambalo limenyakua uongozi wa nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya hivi karibuni linaendelea na mazunguumzo na Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani.
Habari ID: 3474512   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04

TEHRAN (IQNA)- Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa kikamilifu.
Habari ID: 3474367   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/01

Kiongozi Muadhamu katika ujumbe kwa mnasaba wa Siku ya Jeshi nchini Iran
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Jeshi nchini Iran.
Habari ID: 3473824   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/17

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Afrika Kusini limefanyia marekebisho kanuni zake za uvaaji na sasa limewaruhusu askari wanawake wa Kiislamu nchini humo kuvalia vazi la stara la hijabu wakiwa kazini.
Habari ID: 3473600   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/29

Vita dhidi ya janga la corona
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima hulinda kiwango cha uwezo wake wa kiulinzi na kumzuia adui na wakati huo huo huwa pamoja na wananchi wakati wa maafa au majanga na huwasaidia katika kutatua matatizo yao.
Habari ID: 3472673   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/17

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lina mpango wa kuanzisha vituo 50 vya kuhifadhi Qur'ani (Darul Tahfidhul Qur'an) katika vitengo kadhaa vya jeshi hilo.
Habari ID: 3472039   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani inahasimiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kwa sababu jeshi hilo limekuwa mstari wa mbele katika kuilinda Iran na Mapinduzi ya Kiislamu na kuongeza kuwa: "Kwa miaka 40 sasa, Marekani na maadui wengine wajinga wamekuwa wakifanya kila wawezalo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini wameshindwa."
Habari ID: 3471906   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/09

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya pili ya Mashindano ya Qur'ani ya Majeshi ya Iraq wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3471754   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/28