IQNA-Mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran umezinduliwa rasmi kama Mji Mkuu wa Utamaduni katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2017.
Habari ID: 3470781 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeutangaza mji wa Shiraz kusini mwa Iran kuwa mji mkuu wa vijana katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2017.
Habari ID: 3470769 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/31
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imetoa wito kwa nchi za Kiislamu duniani na mashirika ya kutoa misaada kuwasaidia mayatima hasa kwa mnasaba wa Siku ya Mayatima Katika Nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3470387 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/14
Rais Hassan Rouhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano baina ya nchi za Kiislamu ni kati ya vipaumbele vya awali vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470247 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/15
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi ya juzi huko Paris mji mkuu wa Ufaransa.
Habari ID: 3452963 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/16
Jumuiya ya Ushirikiano wa nchi za Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama kujadili hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds.
Habari ID: 3365554 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/20
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleaza hujuma dhidi ya msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3365118 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/19
Waislamu wasiopungua 108,000 walipoteza maisha kutokana na maafa na vita katika nchi za Kiislamu na nchi ambazo Waislamu ni wachache kote duniani mwaka 2014.
Habari ID: 3345845 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3339755 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07
Shirika la Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC limetoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhuckua hatua hatua za kivitendo kuzuia hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3335772 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/27
Kikao cha kumi cha kamati ya kudumu inayohusika na masuala ya utamaduni na habari ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuhusu nafasi ya vijana na vyombo vya habari katika kudumisha amani na uthabiti katika Ulimwengu wa Kiislamu kimefanyika Dakar, mji mkuu wa Senegal.
Habari ID: 3233866 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/30
Katibu Mkuu wa OIC
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC amesema kuwa, Waislamu wote wana haki ya kuingia katika msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
Habari ID: 2677828 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/06
Mkutano wa 10 wa Mawaziri wa Habari wa nchi za Kiislamu (ICIM) umefanyika Jumatano hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Is’haq Jahangiri Makamu wa Kwanza wa Rais na Katibu Mkuu wa OIC.
Habari ID: 2615009 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/04
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetaka washtakiwe wakuu wa kijeshi na kisiasa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutenda jinai dhidi ya binadamu.
Habari ID: 1455018 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/28
Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu OIC na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) zimetaka kusimamishwa mapigano huko Syria katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 1424844 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/01
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imesema itaunga mkono ombi la Palestina kwa Umoja wa Mataifa kujiunga na na mikataba 15 ya kimataifa.
Habari ID: 1390963 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/06
Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC imetoa taarifa na kulaani hujuma ya hivi karibuni ya kundi la kigaidi la Boko Haram dhidi ya shule moja nchini Nigeria ambapo wanafunzi 57 waliuawa.
Habari ID: 1380935 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/28
Ali Larijani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge laa Iran amesema kuwa uzoefu wa miaka mingi iliyopita umeonesha kwamba ugaidi na ubeberu ni ncha mbili za mkasi unaotishia Umma wa Kiislamu na kwamba watu wa Iraq, Syria, Afghanistan na Pakistan wamehisi zaidi machungu ya mkasi huo kuliki watu wa maeneo mengine.
Habari ID: 1377233 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19