oic

IQNA

IQNA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Mkataba wa Maelewano (MoU) wa kumaliza vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran haukuwa matokeo ya shinikizo au kulazimishwa, bali ni zao la ustahimilivu na nguvu ya taifa shupavu la Iran.
Habari ID: 3482399   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/24

IQNA – Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imekataa rasmi mpango wa eneo linalojitenga la Somalia linalojulikana kama Somaliland w kufungua ubalozi katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel.
Habari ID: 3482269   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/22

IQNA – Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, amefanya mazungumzo na Hissein Brahim Taha, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), mjini Beijing siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3481857   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/27

IQNA – Mkutano wa dharura wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa Shirika la Ushirikiano la Kiislamu (OIC) ulianza Jumatatu mjini Jeddah, Saudi Arabia, ambapo washiriki wamesisitiza umuhimu wa hatua ya pamoja kusaidia Gaza na Palestina.
Habari ID: 3481136   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/26

IQNA- Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu (ICRO) amesema kuwa mazungumzo kati ya nchi za Kiislamu ni hitaji lisiloweza kuepukika katika kutatua changamoto za msingi za ubinadamu.
Habari ID: 3480688   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/15

Jinai za Israel
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua na kuubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo haramu dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478780   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/06

Diplomasia
IQNA-Mkutano wa 15 wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ulianza jana Jumamosi katika mji mkuu wa Gambia, Banjul.
Habari ID: 3478772   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/05

Kadhi ya Palestina
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi katili la Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na upanuzi wa mashambulizi ya kiholela ya utawala huo kwenye mji wa Rafah, kusini mwa ukanda huo.
Habari ID: 3478355   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kufuatia mauaji ya hivi sasa yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza, hakutakuwa na nafasi kwa ulimwengu wa Kiislamu kutegemea mazungumzo ya makubaliano na utawala huo, mwanazuoni mmoja wa Kiislamu amesema.
Habari ID: 3477895   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/15

Diplomasia ya Kiislamu
RIYADH (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika kikao cha pamoja cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kwamba: kadhia ya Gaza ni makabiliano baina ya mhimili wa sharafu au heshima na mhimili wa uovu, na kila mtu anapaswa abainishe yuko upande gani.
Habari ID: 3477878   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/11

Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kikao cha wakuu wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kilichofanyika mjini Riyadh, Saudi Arabia kimetilia mkazo ulazima wa kuondolewa mzingiro dhidi ya Gaza na kuingia misafara ya misaada ya kibinadamu katika eneo hilo.
Habari ID: 3477877   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/11

Wanawake Waislamu
MECCA (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeandaa mkutano wa kimataifa wa siku tatu huko Jeddah unaoitwa "Wanawake katika Uislamu: Hadhi na Uwezeshaji" unaoanza Jumatatu.
Habari ID: 3477848   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/06

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeisitiza umuhimu wa kuhifadhi hadhi ya kihistoria na kisheria ya maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo huko al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3477482   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/22

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
BAGHDAD (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imetangaza kuwa, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapanga kufanya kikao cha dharura ili kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
Habari ID: 3477328   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/23

Chuki dhidi ya Uislamu
ISLAMABAD (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imehimizwa kubuni mikakati ya kukabiliana na chuki inayoongezeka dhidi ya Uislamu duniani kote.
Habari ID: 3477253   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/08

Chuki dhidi ya Uislamu
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetangaza mkutano wa dharura kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu hivi karibuni katika mji mkuu wa Stockholm wa Uswidi.
Habari ID: 3477220   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/01

Mgogoro wa Sudan
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro wa Sudan.
Habari ID: 3476957   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/04

Mgogoro Sudan
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) umepangwa kufanyika wiki hii kujadili mgogoro unaotokoota nchini Sudan
Habari ID: 3476948   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/02

Ulimwengu wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali mashambulizi ya Wazayuni katika eneo la Babul Rahma katika Msikiti Mtakatifu wa al Aqsa.
Habari ID: 3476910   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/24

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amefanya mazungumzo ya simu na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na kutoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha jumuiya hiyo ili kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa.
Habari ID: 3476835   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/08