maziko

IQNA

IQNA-Ofisi inayohusika na kuhifadhi na kuchapisha kazi za Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza ratiba ya hafla za kuaga, mazishi, na kuzikwa kwa Shahidi Ayatullah Imam Sayyid Ali Khamenei ambapo mamilioni wanatarajiwa kushiriki.
Habari ID: 3482354   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/13

IQNA – Msemaji wa Manispaa ya Tehran ametangaza utayari kamili wa manispaa hiyo kwa ajili ya shughuli ya kusindikiza mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3482342   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/09

IQNA-Mamilioni ya watu wa Iran siku ya Jumatano wamejitokeza katika mazishi na shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran na miji mingine ya Iran.
Habari ID: 3481803   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/15

TEHRAN (IQNA)- Shughuli ya maziko ya mwili wa shahid Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya kijeshi wa Iran imefanyika leo Jumatatu kwa kuchungwa protokali zote za kiafya ili kujiepusha na maambukizi ya corona.
Habari ID: 3473407   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/30