Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) – Mji wa Gander katikati mwa jimbo la Newfoundland na Labrador nchini Kanada (Canada) unafanya kazi na jumuiya yake ya Waislamu wa eneo hilo kuanzisha msikiti wake wa kwanza ili kuwashawishi madaktari Waislamu wasihame eneo hilo.
Habari ID: 3475643 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18
Waislamu Japan
TEHRAN (IQNA)- Mtaa wa kifahari wa Yoyogi-Uehara katika wilaya ya Shibuyaj jijini Tokyo una jengo la aina yake ambalo ni msikiti mkubwa wenye rangi ya samawati.
Habari ID: 3475599 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/09
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja huko Paterson, jimbo la New York Marekani, umelengwa na wahalifu wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu mapema wiki hii.
Habari ID: 3475588 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/06
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Watu wawili walirusha kitu kinachofanana na bomu la molotov kwenye nembo kubwa ya hilali nje ya Msikiti wa Fatima al-Zahra huko Long Island, New York, Marekani siku chache kabla ya sherehe ya Kiislamu ya Idul Adha.
Habari ID: 3475498 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/13
Waislamu Italia
TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa kwanza huko Venice, Italia, ulizinduliwa katika hafla iliyohudhuriwa na wawakilishi wa jamii ya Kiislamu ya Italia na taasisi za jiji.
Habari ID: 3475369 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12
Msikiti wa Al Aqsa wahujumiwa
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhurii ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hatua ya Wazayuni ya kuuvunjia heshima msikiti mtakatifu wa al-Aqsa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu. Msikiti huo uko katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475313 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya milo milioni 3 ya futari ilitolewa kwenye Msikiti Mkuu wa Makka katika siku 20 za mwanzo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu wa 1423 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3475164 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/24
TEHRAN (IQNA)-Wanaume wawili wa Illinois ambao walisaidia kulipua msikiti wa Minnesota mnamo 2017 mnamo Jumanne walipokea vifungo vya jela chini ya kiwango cha miaka 35 ambacho walitakiwa kufungwa.
Habari ID: 3475124 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/13
TEHRAN (IQNA)- Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika Ukingo wa Magahribi Jumapili na kupanda juu ya paa la msikiti huo.
Habari ID: 3475064 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/22
TEHRAN (IQNA) – Baada ya masaa mengi ya kuchangisha fedha, kupanga na kujenga, milango ya msikiti mpya kabisa huko Melbourne, Australia, hatimaye imefunguliwa.
Habari ID: 3475043 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/14
TEHRAN (IQNA) – Waumini katika Msikiti Mkuu wa Makkah Jumapili walisali Sala ya Alfajiri bila kuzingatia kanuni ya corona ya kutokaribiana ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo baada ya muda mrefu.
Habari ID: 3475017 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/07
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 57 wameuawa shahidi leo wakati wa Sala ya Ijumaa katika shambulizi la kigaidi lililofanyika ndani ya msikiti mmoja ulioko katika mji wa Peshawar nchini Pakistan.
Habari ID: 3475004 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/04
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Al-Rahma huko Liverpool nchini Uingereza umeshinda tuzo ya heshima kwa kazi yake kubwa ya uhamasishaji katika jamii mwaka jana.
Habari ID: 3474972 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/25
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji kandanda wa kimataifa wa Ghana Abdul Majeed Waris anajenga msikiti wa orofa mbili kwa ajili ya jamii ya Waislamu katika mji aliozaliwa.
Habari ID: 3474961 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/22
TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Palestina amesema askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuhujumu tena Msikiti wa Nabii Ibrahim -Amani ya Mwenyezi Mungu iwe Juu Yake- kwa lengo la Kuyahudisha eneo takatifu la Waislamu.
Habari ID: 3474940 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/17
TEHRAN (IQNA)- Msikiti mmoja katika mji mkuu wa Austira, Vienna umehujumiwa na watu wasiojulikana ikiwa ni ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
Habari ID: 3474893 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 40,000 wameshiriki katika Sala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474891 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia Algeria, ambao pia ni maarufu kama Masjid Djamaa el Djazaïr ni msikiti wa tatu kwa ukubwa duniani. Mnara wake wenye urefu wa mita 267 ni moja kati ya minara mirefu zaidi duniani.
Habari ID: 3474864 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 25,000 wamestahamili baridi kali na kushiriki katika Sala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474860 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/28
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Saudi Arabia wametoa amri kuwa wafanyakazi katika misikiti waajiriwe kikamilifu na wasiwe wanafanya kazi maeneo mengine.
Habari ID: 3474853 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25