IQNA - Mufti Mkuu wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili alielezea mshangao wake kwamba Waoman ndio waliohusika na shambulio baya la kigaidi katika msikiti wa Shia karibu na Muscat.
Habari ID: 3479146 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/19
Chuki dhidi ya Uislamu India
Watu walizuia Shirika la Manispaa ya Delhi (MCD) kubomoa ukuta wa mpaka wa msikiti katika wilaya ya Rohini siku ya Jumanne.
Habari ID: 3479016 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/27
IQNA - Msikiti Mkuu wa Paris umelaani mwenendo unaoongezeka wa mashambulizi ya kisiasa na vyombo vya habari dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa.
Habari ID: 3479010 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24
Utamaduni
IQNA - Msikiti Mkuu wa Djenne nchini Mali wikiendi huu ulikuwa eneo la sherehe kitamaduni za kila mwaka. Ukarabati upya wa kila mwaka wa msikiti huo ulifanyika kwa kushirikisha watu wengi.
Habari ID: 3478820 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/14
Waislamu Korea Kusini
IQNA - Daud Kim, msanii maarufu wa pop wa Korea Kusini na YouTuber ambaye alikubali Uislamu mnamo 2019, ameanza mradi wa kujenga msikiti huko Incheon, Korea Kusini.
Habari ID: 3478683 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/14
Waislamu Ulaya
IQNA - Sala ya Idul Fitr iliswaliwa na zaidi ya waumini 100 wa Kiislamu katika Msikiti wa Yeni huko Thessaloniki, kaskazini mwa Ugiriki, siku ya Jumatano.
Habari ID: 3478674 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/12
IQNA- Katika harakati inayoashiria istiqama, Wapalestina katika Ukanda wa Gaza siku ya Ijumaa walishiriki katika sala ya kwanza ya Ijumaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Machi 15 katika eneo lenye mabaki ya Msikiti wa Rafah ambalo ulibomolewa hivi karibuni katika hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478527 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Qurani Tukufu
IQNA - Eneo la Wallonia nchini Ubelgiji linasherehekea ufunguzi wa Msikiti wa Kanuni Sultan Süleyman huko Liège baada ya miaka 10 ya ujenzi uliotegemea wafadhili wa eneo hilo.
Habari ID: 3478503 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/13
IQNA – Msikiti wa kwanza duniani kujengwa kwa kutumia teknolojia ya uchapishaji ya 3D ulizinduliwa mjini Jeddah mapema mwezi Machi.
Habari ID: 3478484 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10
Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kiutamaduni kati ya Iran na Algeria kwa kuzingatia misikiti kama msingi na katika mwelekeo wa kuongeza maarifa, sayansi na kujenga umoja na mafungamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3478444 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03
Ugaidi
IQNA - Shambulio dhidi ya msikiti mashariki mwa Burkina Faso liliua makumi ya Waislamu siku ambayo a shambulio lingine baya dhidi ya Wakatoliki waliokuwa kanisani.
Habari ID: 3478419 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/27
Turathi
IQNA- Msikiti mkubwa zaidi barani Afrika, unaochukua waumini 120,000, umefunguliwa nchini Algeria siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478418 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Msikiti mmoja katika mji mkuu wa Uswidi wa Stockholm umekuwa ukilengwa na mashambulizi ya chuki dhidi ya Uislamu kwa zaidi ya mwaka mmoja, huku tukio la hivi punde likitokea Jumatano wakati waumini wa Kiislamu walipoona ukuta wa msikiti ukiwa umechorwa Swastika ambayo ni nembo ya wanazi na maandishi ya "waue Waislamu "
Habari ID: 3478402 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/23
Uislamu na Siha
IQNA - Kundi la wanaume wazee huko Istanbul wamepata njia mpya ya kuboresha afya na ustawi wao: kufanya mazoezi katika misikiti yao mtaani baada ya sala.
Habari ID: 3478345 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/13
Waislamu Marekani
IQNA - Kituo cha Jumuiya ya Waislamu cha Edison, jimboni New Jersey nchini Marekani kinataka kujenga msikiti kwenye eneo lake la Plainfield Avenue, ambalo tayari lina makao na mnara.
Habari ID: 3478343 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/13
Waislamu India
IQNA - Pakistan imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuingilia kati na kulinda misikiti na maeneo ya turathi ya Kiislamu nchini India, kufuatia kuharibiwa kwa msikiti wa kihistoria wa Akhunji mjini New Delhi wiki iliyopita.
Habari ID: 3478329 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10
Turathi
IQNA - Waziri wa Wakfu nchini Misri amesema Msikiti wa Sayeda Zainab huko Cairo umefungwa kwa muda ili kuharakisha kazi ya ukarabati.
Habari ID: 3478305 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/04
Waislamu India
IQNA - Msikiti wa Gyanvapi huko Varanasi, ni eneo la kihistoria iliyojengwa katika karne ya 17, umekuwa kitovu cha hivi punde katika mzozo wa muda mrefu wa kisheria kati ya Wahindu na Waislamu nchini India.
Habari ID: 3478291 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02
Ustamaduni
IQNA - Maafisa wa Indonesia wameweka jiwe na msingi na kuzindua ujenzi wa msikiti wa kwanza katika mji mkuu mpya wa nchi hiyo.
Habari ID: 3478214 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18
Taazia
IQNA - Kamera ya usalama katika msikiti mmoja nchiniIndonesia ilirekodi wakati imamu alipoaga dunia wakati akiongoza sala ya asubuhi mnamo Januari 2, 2024.
Habari ID: 3478155 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/06