TEHRAN (IQNA)- Kuingia msikiti ni ukiwa unafahamu kuwa unaugua COVID-19 ni dhambi , amesema msomi wa Kiislamu huku akiwataka waumini wazingatia kanuni za kuzuia kuenea COVID-19.
Habari ID: 3474850 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25
TEHRAN (IQNA)-Oman imetangaza hatua ambazo zinaanza kutekelezwa Januari 23 kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474841 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha zamani cha polisi katika mji wa Cardiff eneo la Wales nchini Uingereza kitabadilishwa kuwa msikiti .
Habari ID: 3474840 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jumuiya ya Tanzim Islami (TI) ya Pakistan amelaani vikali hatua ya Ufaransa kufunga msikiti katika mji wa Cannes nchini humo.
Habari ID: 3474809 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15
TEHRAN (IQNA)- Ufaransa imeendeleza ukandamizaji wake wa Waislamu kwa kutangaza kufunga msikiti mmoja katika mji wa Cannes.
Habari ID: 3474802 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Marekani wanataka uchunguzi ufanyike baada ya msikiti kuhujumiwa katika mji wa Waterloo jimboni Iowa.
Habari ID: 3474775 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/06
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia mjini Glasgow, Scotland sasa ni kituo cha kuwadunga watu dozi ya tatu ya chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474736 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28
TEHRAN (IQNA)-Ufaransa imeendeleza sera zake dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa kuanzisha mpango wa kufunga msikiti mmoja katika mji wa Beauvais kwa muda wa miezi sita kutokana na kile kilichodaiwa ni hotuba zenye misimamo mikali msikiti ni hapo.
Habari ID: 3474678 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15
TEHRAN (IQNA)- Polisi nchini Canada imemkamata mtu mmoja Jumatatu baada ya mzoga kutupwa nje ya msikiti katika eneo la Vaudreuil-Dorion hivi karibuni.
Habari ID: 3474674 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa serikali ya Tunisia wametangaza azma ya kuinua hadhi ya Msikiti wa Al Zaytuna katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474650 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/07
TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa Palestina wametaka Shirika la Umoja wa Mtaifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) lianzishe uchunguzi kuhusu uchimbuaji unaofanywa kinyume cha sheria na Israel katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474644 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/05
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Imam Ali huko Ponta Grossa nchini Brazil umehujumiwa Ijumaa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu, wametangaza wasimamizi wa msikiti huo.
Habari ID: 3474615 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29
TEHRAN (IQNA)- Idhini imetolewa kwa ajili ya kujenga Msikiti na Kituo cha Kiislamu cha Mji wa Limerick nchini Ireland.
Habari ID: 3474603 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/26
TEHRAN (IQNA)- Mtu asiyejulikana anayeaminikwa kuwa ni mwenye chuki dhidi ya Uislamu ameushambulia msikiti mmoja huko Cologne, magharibi mwa Ujerumani mapema Ijumaa.
Habari ID: 3474581 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Uturuki wameamua kupunguza makali ya sheria ambazo zinatumika misikitini katika wakati huu wa janga la COVID-19.
Habari ID: 3474553 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya lita milioni 1.2 za maji ya Zamzam zimesambazwa miongoni mwa wanaofanya ziara katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474552 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13
TEHRAN (IQNA) - Msikiti Mkuu wa Glasgow, Scotland, ambao unatambuliwa kuwa moja ya misikiti ya kijani zaidi duniani kwa maana kuwa unazingatia utunzaji mazingira katika shughuli zake, sasa utaanza kutumia nishati ya jua kikamilifu.
Habari ID: 3474535 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09
TEHRAN (IQNA)- Msikiti mpya umefunguliwa hivi karibuni katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka kwa lengo la kuwahudumia Waislamu na pia kuelimisha watu wa nchi hiyo kwa ujumla kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3474525 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/06
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa msikiti wa Wapalestina katika mji wa Duma, kusini mwa eneo linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474520 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05
TEHRAN (IQNA) Kwa mara nyingine, Utawala wa Kizayuni wa Israel unawazuia Waislamu Wapalestina kuingia Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil (Hebron) ulio katika eneo Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kabavu na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474497 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31