Waislamu Australia
IQNA – Msikiti mmoja mkubwa nchini Australia umeomba rasmi ruhusa ya kuanza kutumia vipaza sauti kuadhini katika kitongoji cha Lakemba, jiji la Sydney.
Habari ID: 3480505 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/07
IQNA – Jumuiya ya Kiislamu ya Altrincham & Hale imetangaza mipango ya kuhamia kutoka eneo lake la sasa kwenye Grove Lane kwenda kwenye Kituo cha Kiislamu na msikiti kilichojengwa mahsusi kwenye Thorley Lane huko Timperley.
Habari ID: 3480481 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/01
Ibada
IQNA-Eneo kubwa la Swala la Tehran maarufu kama Mosalla Imam Khomeini litapanuliwa na kuwa msikiti mkubwa zaidi duniani.
Habari ID: 3480275 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/27
IQNA – Idadi kubwa ya Wapalestina walihudhuria mazishi yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Al-Quds siku ya Jumatatu kwa ajili ya msomaji wa Qur'ani Tukufu wa Msikiti wa Al-Aqsa.
Habari ID: 3480268 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/25
IQNA – Mkuu wa Msikiti wa Jamia wa Algiers amesema kuwa Kituo cha Dar-ul-Qur'an cha msikiti huo kiko tayari kupokea wanafunzi kutoka nchi jirani za Afrika.
Habari ID: 3480242 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/20
Waislamu Japan
IQNA – Taasisi ya Cinta Quran ya Indonesia, imeanzisha ujenzi wa Msikiti wa As-Sholihin huko Yokohama, Japan.
Habari ID: 3480034 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/11
Waislamu wa Marekani
IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Naperville (ICN) nchini Marekani kimekamilisha awamu ya awali ya mradi wake mpya wa msikiti wa futi za mraba 28,400 kwenye barabara ya 248th Avenue.
Habari ID: 3479929 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21
Jinai za Israel
IQNA - Uchunguzi uliofanywa na kundi moja la kutetea haki za binadamu unaonyesha kuwa msikiti uliolengwa na wanajeshi wa Israel wakati wa sala ya alfajiri mwezi Novemba mwaka jana haukuwa na wanajeshi wakati wa shambulio hilo.
Habari ID: 3479926 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20
Jinai za Israel
IQNA - Kundi la walowezi haramu wa Kizayuni wa utawala haramu Israel wamechoma moto Msikiti wa Bir Al-Walidain katika kijiji cha Marda, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3479925 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20
Mazingira
IQNA - Msikiti wa kwanza wa Asia Magharibi ambao unazalisha nishati zaidi kuliko unavyotumia (net positive energy), umefunguliwa huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3479721 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
Chuki Dhidi ya Uislamu
IQNA - Msikiti wa Imam Ridha (AS) umeshambuliwa na kuteketezwa moto huko New Lynn, Auckland, nchini New Zealand kuharibiwa vibaya, huku jamii ya Waislamu ikishtushwa na tukio hilo.
Habari ID: 3479710 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/06
Waislamu Kenya
IQNA - Chuo Kikuu cha Nairobi hatimaye kitakuwa na msikiti mdogo kwenye kampasi kuu ya taasisi hiyo muhimu zaidi ya elimu nchini Kenya.
Habari ID: 3479597 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/15
Jinai za Israel
IQNA-Mashambulizi kinyama ya anga yanayofanywa na katili la utawala wa Kizayuni wa Israel yameteketeza kikamilifu msikiti wa kale na kubomoa soko kusini mwa Lebanon, katika kile kilichoelezewa kama "uangamizaji wa kila kitu".
Habari ID: 3479586 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13
IQNA – Kubomolewa Msikiti wa miaka 1,200 Dargah (makaburi matakatifu ya Waislamu), katika wilaya ya Gir Somnath, Gujarat ya India kumeibua maandamano makubwa.
Habari ID: 3479517 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/30
Uislamu na Jamii
IQNA - Magereza yote nchini Kenya yameagizwa kutenga ardhi kwa ajili ya ujenzi wa misikiti na makanisa.
Habari ID: 3479403 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/09
Turathi za Kiislamu
IQNA Vioo vya rangi katika Msikiti wa Nasir-ul-Mulk - pia unaojulikana kama Msikiti wa Rangi ya Waridi - vinakarabatiwa, kulingana na afisa wa mkoa.
Habari ID: 3479398 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/08
IQNA - Msikiti wa Imam Sadiq (AS) katika Medani ya Palestina ya Tehran ni moja ya misikiti maridadi zaidi katika mji mkuu wa Iran, Tehran
Msikiti huu una mandhari ya kuvutia baadhi ya maeneo yake yamejengwa kwa kuiga misikiti ya kale ya Isfahan. Shabestan (nafasi ya misikiti inayotumika kama ukumbi mkuu wa swala) pia ina mvuto wa aina yake.
Habari ID: 3479361 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31
Jinai za Israel
IQNA-Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa Sheikh Ekrima Sabri amesema, kauli aliyotoa hivi karibuni waziri wa usalama wa ndani wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi.
Habari ID: 3479338 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/27
Arbaeen 1446
IQNA - Kila siku, makumi ya maelfu ya mazuwar au wafanyaziara wa Arbaeen hutembelea Msikiti Mkuu wa Kufa, ulioko karibu na Najaf, Iraq.
Habari ID: 3479324 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24
Dini
IQNA - Indonesia inapanga kuzindua njia ya chini ya ardhi ya urafiki inayounganisha kanisa na msikiti mashuhuri huko Jakarta mwezi ujao, kabla ya ziara ya Papa Francis katika nchi hiyo yenye Waislamu wengi.
Habari ID: 3479190 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/27