msikiti - Ukurasa 7

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 57 wameuawa shahidi leo wakati wa Sala ya Ijumaa katika shambulizi la kigaidi lililofanyika ndani ya msikiti mmoja ulioko katika mji wa Peshawar nchini Pakistan.
Habari ID: 3475004    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/04

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Al-Rahma huko Liverpool nchini Uingereza umeshinda tuzo ya heshima kwa kazi yake kubwa ya uhamasishaji katika jamii mwaka jana.
Habari ID: 3474972    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/25

TEHRAN (IQNA)- Mchezaji kandanda wa kimataifa wa Ghana Abdul Majeed Waris anajenga msikiti wa orofa mbili kwa ajili ya jamii ya Waislamu katika mji aliozaliwa.
Habari ID: 3474961    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/22

TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Palestina amesema askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuhujumu tena Msikiti wa Nabii Ibrahim -Amani ya Mwenyezi Mungu iwe Juu Yake- kwa lengo la Kuyahudisha eneo takatifu la Waislamu.
Habari ID: 3474940    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/17

TEHRAN (IQNA)- Msikiti mmoja katika mji mkuu wa Austira, Vienna umehujumiwa na watu wasiojulikana ikiwa ni ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
Habari ID: 3474893    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05

TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 40,000 wameshiriki katika Sala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474891    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia Algeria, ambao pia ni maarufu kama Masjid Djamaa el Djazaïr ni msikiti wa tatu kwa ukubwa duniani. Mnara wake wenye urefu wa mita 267 ni moja kati ya minara mirefu zaidi duniani.
Habari ID: 3474864    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29

TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 25,000 wamestahamili baridi kali na kushiriki katika Sala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474860    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/28

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Saudi Arabia wametoa amri kuwa wafanyakazi katika misikiti waajiriwe kikamilifu na wasiwe wanafanya kazi maeneo mengine.
Habari ID: 3474853    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25

TEHRAN (IQNA)- Kuingia msikiti ni ukiwa unafahamu kuwa unaugua COVID-19 ni dhambi , amesema msomi wa Kiislamu huku akiwataka waumini wazingatia kanuni za kuzuia kuenea COVID-19.
Habari ID: 3474850    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25

TEHRAN (IQNA)-Oman imetangaza hatua ambazo zinaanza kutekelezwa Januari 23 kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474841    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha zamani cha polisi katika mji wa Cardiff eneo la Wales nchini Uingereza kitabadilishwa kuwa msikiti .
Habari ID: 3474840    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jumuiya ya Tanzim Islami (TI) ya Pakistan amelaani vikali hatua ya Ufaransa kufunga msikiti katika mji wa Cannes nchini humo.
Habari ID: 3474809    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15

TEHRAN (IQNA)- Ufaransa imeendeleza ukandamizaji wake wa Waislamu kwa kutangaza kufunga msikiti mmoja katika mji wa Cannes.
Habari ID: 3474802    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Marekani wanataka uchunguzi ufanyike baada ya msikiti kuhujumiwa katika mji wa Waterloo jimboni Iowa.
Habari ID: 3474775    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/06

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia mjini Glasgow, Scotland sasa ni kituo cha kuwadunga watu dozi ya tatu ya chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474736    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

TEHRAN (IQNA)-Ufaransa imeendeleza sera zake dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa kuanzisha mpango wa kufunga msikiti mmoja katika mji wa Beauvais kwa muda wa miezi sita kutokana na kile kilichodaiwa ni hotuba zenye misimamo mikali msikiti ni hapo.
Habari ID: 3474678    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Polisi nchini Canada imemkamata mtu mmoja Jumatatu baada ya mzoga kutupwa nje ya msikiti katika eneo la Vaudreuil-Dorion hivi karibuni.
Habari ID: 3474674    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa serikali ya Tunisia wametangaza azma ya kuinua hadhi ya Msikiti wa Al Zaytuna katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474650    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/07

TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa Palestina wametaka Shirika la Umoja wa Mtaifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) lianzishe uchunguzi kuhusu uchimbuaji unaofanywa kinyume cha sheria na Israel katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474644    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/05