msikiti - Ukurasa 8

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Imam Ali huko Ponta Grossa nchini Brazil umehujumiwa Ijumaa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu, wametangaza wasimamizi wa msikiti huo.
Habari ID: 3474615    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29

TEHRAN (IQNA)- Idhini imetolewa kwa ajili ya kujenga Msikiti na Kituo cha Kiislamu cha Mji wa Limerick nchini Ireland.
Habari ID: 3474603    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/26

TEHRAN (IQNA)- Mtu asiyejulikana anayeaminikwa kuwa ni mwenye chuki dhidi ya Uislamu ameushambulia msikiti mmoja huko Cologne, magharibi mwa Ujerumani mapema Ijumaa.
Habari ID: 3474581    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Uturuki wameamua kupunguza makali ya sheria ambazo zinatumika misikitini katika wakati huu wa janga la COVID-19.
Habari ID: 3474553    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya lita milioni 1.2 za maji ya Zamzam zimesambazwa miongoni mwa wanaofanya ziara katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474552    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13

TEHRAN (IQNA) - Msikiti Mkuu wa Glasgow, Scotland, ambao unatambuliwa kuwa moja ya misikiti ya kijani zaidi duniani kwa maana kuwa unazingatia utunzaji mazingira katika shughuli zake, sasa utaanza kutumia nishati ya jua kikamilifu.
Habari ID: 3474535    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09

TEHRAN (IQNA)- Msikiti mpya umefunguliwa hivi karibuni katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka kwa lengo la kuwahudumia Waislamu na pia kuelimisha watu wa nchi hiyo kwa ujumla kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3474525    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/06

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa msikiti wa Wapalestina katika mji wa Duma, kusini mwa eneo linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474520    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05

TEHRAN (IQNA) Kwa mara nyingine, Utawala wa Kizayuni wa Israel unawazuia Waislamu Wapalestina kuingia Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil (Hebron) ulio katika eneo Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kabavu na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474497    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31

TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa polisi nchini Nigeria wametangaza habari ya kuuawa Waislamu 18 waliokuwa wanasali Msikitini huko kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474476    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/26

TEHRAN (IQNA)- Sherehe za kukumbuka kuzaliwa Mtume Muhammad SAW maarufu kama Milad un Nabii au Maulidi zimefanyika Jumapili jioni katika msikiti wa kihistoria wa Al Nuri nchini Iraq ambao unajengwa upya baada ya kuharibiwa vibaya na magaidi wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474438    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/18

TEHRAN (IQNA)- Hujuma ya kigaidi imelenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Kandahar, Afghanistan na kuepelekea waumini wasiopungua 32 kuuawa shahidi na wengine zaidi ya 53 kujeruhiwa.
Habari ID: 3474426    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

TEHRAN (IQNA)- Kwa uchache watu 10 wameuawa katika shambulizi la magaidi wakufurishaji walilolenga msikiti wa kijiji kimoja huko magharibi mwa Niger.
Habari ID: 3474421    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/14

TEHRAN (IQNA)- Moto ambao unashukiwa kuanzishwa na wenye chuki dhidi ya Uislamu umeharibu jengo la msikiti eneo la University Place, jimboni Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3474420    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/13

TEHRAN (IQNA)-Waislamu katika mji wa Abuja, Nigeria wamepokea chanjo ya COVID-19 nje ya msikiti baada ya Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3474406    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/10

Kiongozi Muadhamu katika ujumbe kufuatia hujuma ya kigaidi msikitini Afghanistan
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa mamlaka za Kabul kuwaadhibu waliohusika na shambulizi la bomu lililoua makumi ya watu msikiti ni katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan juzi Ijumaa.
Habari ID: 3474404    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/10

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kufuatia kuuawa shahidi na kujeruhiwa idadi kubwa ya watu wasio na hatia nchini Afghanistan.
Habari ID: 3474400    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09

TEHRAN (IQNA)- Waumini zaidi ya 60 wameopoteza maisha katika hujuma kigaidi dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia huku katika mji wa Kunduz kaskazini mashariki mwa Afghanistan.
Habari ID: 3474397    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/08

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani hatua ya mahakama moja ya utawala bandia wa Israel kuwaruhusu walowezi wa Kizayuni kuingia katika uwanja wa Msikiti wa Al Aqsa kwa ajili ya kufanya ibada zao.
Habari ID: 3474394    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/07

TEHRAN (IQNA)- Raia wasiopungua watano wamepoteza maisha baada ya bomu lililotegwa mlangoni mwa msikiti wa Eid Gah mjini Kabul, kuripuka na kuwajeruhi watu wengine kadhaa waliokuwa wanahudhuria ibada ya kumbukumbu ya mama wa msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid.
Habari ID: 3474380    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/04