Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Tukio la kuchangisha fedha kusaidia kujenga msikiti mpya wa Blackburn nchini Uingereza limefanikiwa sana baada ya wafadhili kuahidi kwa ukarimu £126,000 kusaidia mradi huo.
Habari ID: 3476687 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/10
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Waislamu katika eneo la Cambridge nchini Kanada (Canada) wanasema wameingiwa na hofu tangu msikiti wao ulipohujumiwa na kuharibiwa wiki iliyopita.
Habari ID: 3476653 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/03
Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Mamlaka za India zimebomoa msikiti wa karne ya 16 huko Uttar Pradesh kama sehemu ya mradi wa kupanua barabara.
Habari ID: 3476418 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17
Chuki dhidi ya Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) –Mhalifu anayeaminika kuwa mwenye chuki dhidi ya Uislamu amehujumu Kituo cha Kiislamu cha Tracy na Msikiti wa Tracy katika jimbo la California la Marekani mkesha wa mwaka mpya.
Habari ID: 3476361 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/05
Michezo na Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Nyota wa soka wa Norway Erling Haaland amesambaza picha za Msikiti Mkuu wa Sheikh Zayed huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na kuzua gumzo uvumi kuhusu dini yake.
Habari ID: 3476239 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/12
TEHRAN (IQNA) – Watu wenye silaha wameshambulia msikiti mmoja kusini mwa Nigeria siku ya Ijumaa wakijaribu kumteka nyara imamu bila kufanikiwa ambapo waliwafyatulia risasi na kwuajeruhi waumini kumi na mmoja.
Habari ID: 3476192 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/03
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi kutoka shule ya Darwen walitembelea Msikiti wa Madina mjini Blackburn Uingereza ili kujua zaidi kuhusu Uislamu na maisha ya kila siku ya Waislamu.
Habari ID: 3476183 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/02
Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA) – Msikiti Mkuu wa Katara (Msikiti wa Bluu) ni miongoni mwa vivutio vingi katika Kijiji cha Utamaduni cha Katara huko Doha, Qatar, ambacho sasa ni kivutio kikuu kwa watalii wakati wa Kombe la Dunia nchini humo.
Habari ID: 3476165 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28
Waislamu na Uislamu Malaysia
KUALA LUMPUR (IQNA) – Ukiwa na rangi ya kipekee ya waridi na usanifu majengo wa aina yake, Msikiti wa Putra unapatikana katika mji mkuu wa Malaysia,Kuala Lumpur.
Habari ID: 3476107 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/18
Uislamu nchini Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa utafiti, chuki dhidi ya wageni na chuki dhidi ya Waislamu imekuwa ikiongezeka kwa kasi mashariki mwa Ujerumani.
Habari ID: 3476064 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) - Kulingana na maafisa wa Msikiti wa Cambridge nchini Uingereza watu 86 wametamka shahada mbili (au tamko la imani ya Kiislamu) katika kituo hicho tangu Januari.
Habari ID: 3476033 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/04
Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) – Baraza la Kitaifa la Waislamu wa Kanada (NCCM) limeashiria kisa cha hujuma dhidi ya msikiti wa eneo la Toronto kama ishara ya "kuongezeka kwa kutisha kwa chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)".
Habari ID: 3475963 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21
Maafa
TEHRAN (IQNA) – Kuba kubwa la Msikiti Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Jakarta nchini Indonesia liliporomoka kufuatia moto mkubwa.
Habari ID: 3475962 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21
Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza kabisa, Adhana imesikika katika moja kati ya misikiti mikubwa zaidi nchini Ujerumani mjini Cologne.
Habari ID: 3475931 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Misikiti ina nafasi maalum katika Uislamu. Misikiti sio tu ni sehemu za ibada au Sala bali pia ina kazi mbalimbali za kidini, kijamii na kisiasa.
Habari ID: 3475860 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/30
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Wanaume wawili walipigwa risasi na kuuawa Jumatatu usiku huko nchini Marekani katika jiji la Oakland wakati washambuliaji wengi waliokuwa kwenye gari walipofyatua risasi kwa umati wa watu karibu na Kituo cha Kiislamu cha Oakland.
Habari ID: 3475820 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21
Waislamu Dunianii
TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa kwanza wa Cuba utajengwa katika mji mkuu Havana ambapo inatarajiwa kuwa ujenzi wake utafadhiliwa na Saudia Arabia kwa ajili ya Waislamu wanaoishi katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
Habari ID: 3475815 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/20
Waislamu Sweden
TEHRAN (IQNA) – Msikiti katika mji wa kusini mwa Uswidi (Sweden) wa Jönköping umehujumiwa na kuharibiwa kwa mara ya tatu katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3475759 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/10
Turathi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Misikiti mitano ya kihistoria inayohusiana na zama za Mtume Muhammad (SAW) katika eneo la Makka itakarabatiwa.
Habari ID: 3475715 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja huko York nchini Uingereza unatazamiwa kuandaa siku ya wazi kwa wasiokuwa Waislamu wa eneo hilo kuja kujifunza kuhusu Uislamu na mtindo wake wa Waislamu.
Habari ID: 3475683 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/26