IQNA – Mamlaka ya utawala wa Kizayuni iliweka kufuli katika milango ya Msikiti wa Ibrahimi ulioko katika mji wa Al-Khalil (Hebron), kusini mwa Ukingo wa Magharibi, siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3480513 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/08
IQNA-Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed al-Khalili, amekosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za kinyama zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3480497 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/05
Jinai za Israel
IQNA – Vikosi vya utawala vamizi wa Israel vilizuia wito wa sala kusikika katika Msikiti wa Ibrahim mara 48 mwezi Desemba, Wizara ya Misaada na Masuala ya Kidini Palestina ilifichua jana.
Habari ID: 3479999 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03
Jinai za Israel
IQNA - Vikosi vya utawala ghasibu wa vimemvamia Sheikh Moataz Abu Sneineh, mkurugenzi wa Msikiti wa Ibrahim, katika kizuizi cha kijeshi huko al-Khalil (Hebron), na kumuacha akiwa amejeruhiwa na kumnyima msaada wa matibabu
Habari ID: 3479987 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01
Muqawama
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman amempongeza Sheikh Naim Qassem kwa kuteuliwa kuwa katibu mkuu mpya wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 3479702 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mufti Mkuu wa al-Quds (Jerusalem) na Palestina amelaani kitendo cha hivi karibuni cha walowezi wa Kizayuni cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu katika Ukingo wa Magharibi wa Mji wa Al-Khalil (Hebron).
Habari ID: 3477871 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/10
Milad un Nabii
AL-QUDS (IQNA) - Wapalestina waliadhimisha Maulidi yaani kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) huko Al-Khalil na hasa katikak Msikiti Ibrahim huku kukiwa na vikwazo vikali vilivyowekwa na utawala haramu wa Israel ambao unaongoza kampeni ya kupinga Maulidi.
Habari ID: 3477668 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kundi la walowezi wa Kizayuni wameshambulia msikiti katika Mji Mkongwe wa Al-Khalil (Hebron), wakirusha mawe kwenye sehemu hiyo ya ibada ya Waislamu.
Habari ID: 3476591 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Walowezi wa Kizayuni wameshambulia misikiti miwili na kuvunja madirisha wakati wa shambulio katika kitongoji cha Bab al-Zawiya katika mji unaokaliwa wa Al-Khalil (Hebron) unaokaliwa kwa mabavu na Israel katika Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3476121 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa utawala ghasibu wa Israel kuwazuia Waislamu kuingia katika Msikiti wa Nabii Ibrahim (AS) katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Al Khali (Hebron) katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3475925 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/13
TEHRAN (IQNA) Kwa mara nyingine, Utawala wa Kizayuni wa Israel unawazuia Waislamu Wapalestina kuingia Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil (Hebron) ulio katika eneo Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kabavu na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474497 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umefunga Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil (Hebron) ulio katika eneo Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kabavu na utawala huo ghasibu, kwa lengo la kutekeleza hafla ya Kizayuni-Kiyahudi katika eneo hilo.
Habari ID: 3474325 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22
TEHRAN (IQNA) - Wakuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel wanazuia katika Msikiti wa Nabii Ibrahim, Amani iwe juu yake, ulioko katika mji wa Al Khalil au Hebron huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3473614 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/02