Mapinduzi ya Kiislamu
        
        IQNA-Mamilioni ya wananchi wa Iran wameshiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wa Imamu Ruhullah Khomeini (MA).
                Habari ID: 3478334               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/02/11
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Dar Al-Quran na Al-Sunnah ya Ukanda wa Ghaza zimefanya  matembezi  makubwa ya watoto wa Qur'ani katika kambi ya Nuseirat katikati mwa eneo hilo
                Habari ID: 3474261               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/09/05
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Kama miaka iliyopita, Waislamu, aghalabu wakiwa ni wa madhehebu ya Shia, wameanza  matembezi  ya kuelekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya maadhimisho ya Arobaini ya Iman Hussein AS.
                Habari ID: 3473225               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/10/03