Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Ahul Sunna
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Ahul Sunna nchini Iraq amesema kuwa maadui wanalenga kuibua vita vya ndani na kuigawa nchi hiyo vipande vipande.
Habari ID: 3472313 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/29
TEHRAN (IQNA) – Imebainika kuwa mwili wa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky una vipande vya mabaki ya risasi.
Habari ID: 3472311 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/28
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Mashindani ya 29 ya Qur'ani ya Sultan Qaboos wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Masikiti wa Sultan Qaboos katika Wilaya ya Basusher nchini humo.
Habari ID: 3472310 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/28
TEHRAN (IQNA) - Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Ijumaa limepasisha azimio ambalo linailaani vikali Myanmar kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na jamii za wengine waliowachache katika nchi hiyo ya Mabuddha.
Habari ID: 3472309 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/28
TEHRAN (IQNA) – Wanajeshi wawili nchini Thailand ambao waliwapiga risasi na kuwaua Waislamu watatu kusini mwa nchi hiyo wamekamatwa na kufikishwa kizimbani.
Habari ID: 3472306 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/26
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu yamefanyika nchini Kazakhstan katika mji wa Taraz ambapo wanawake 87 wameshiriki.
Habari ID: 3472305 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/26
TEHRAN (IQNA) –Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu Hujjatul Islam Hamid Shahriyari amesisitiza kuhusu Waislamu duniani kutumia uwezo wao mkubwa kukabiliana na maadui.
Habari ID: 3472304 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/26
TEHRAN (IQNA) -Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa kheri na pongezi kwa Wakristo kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabii Isa Masih (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) inayoadhimishwa leo na ambayo ni maarufu kama Krismasi.
Habari ID: 3472303 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/25
TEHRAN (IQNA) –Hatua ya Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohamad kuwa mwenyeji wa kikao cha viongozi wa nchi za Kiislamu imeikasirisha Saudia Arabia na waitifaki wake.
Habari ID: 3472300 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/24
TEHRAN (IQNA) – Pamoja na kuwa mustakabali wa uchumi wa Uingereza haujulikani kutokana na uamuzi wa nchi hiyo kujiondoa katika Umoja wa Ulaya, lakini biashara ya chakula halali nchini humo inazidi kuimarika kutokana kuongezeka matumizi miongoni mwa Waislamu.
Habari ID: 3472299 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/24
TEHRAN (IQNA) – Makumi ya maelefu ya Waislamu wameandamana katika miji kadhaa nchini Ethiopia kulaan hujuma za hivi karibuni dhidi ya misikiti katika eneo lenye Wakristo wengi la Amhara kaskazii mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472298 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/24
Waziri Mkuu wa Malaysia
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesema Iran, Malaysia, Uturuki na Qatar zinatafakari kutumia dinari ya dhahabu na mfumo wa bidhaa kwa bidhaa katika biashara.
Habari ID: 3472296 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/22
TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika eneo moja la jimbo la California nchini Marekani hatimaye wamepata idhini ya kujenga msikiti baada ya mapambanao ya miaka 13.
Habari ID: 3472294 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/21
TEHRAN (IQNA) – Mwendesha Mashtaka Mkuu katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amesema ataanzisha uchunguzi kamili kuhusu jinai za kivita za utawala dhalimu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3472293 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/21
TEHRAN (IQNA) – Wanasayansi Waislamu na wanaharakati wametakiwa kujitokeza wazi katika matukio ya kimataifa kwa lengo la kuutetea Uislamu.
Habari ID: 3472292 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/21
TEHRAN (IQNA) - Watu wengine nane wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kupinga sheria iliyo dhidi ya Waislamu nchini India, huku taasisi za kimataifa, nchi na shakhsia mbalimbali duniani wakiendelea kukosoa hatua ya kupasishwa sheria hiyo tata.
Habari ID: 3472291 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/20
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Misri, Cairo na mji wa kale wa Bukhara nchini Uzbekistan imetangazwa kuwa miji mikuu ya utamaduni katika ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2020.
Habari ID: 3472288 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/20
TEHRAN (IQNA) – Viongozi wa nchi muhimu za Kiislamu wamekutana Kuala Lumpur, Malaysia kujadili masuala muhimu ya Uliwmengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3472286 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/18
TEHRAN (IQNA) – Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW kimetoa taarifa na kulaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu kuendelea kushikiliwa kinyume cha sheria kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim al-Zakzaky na mke wake, pamoja na kuwa hali yao ya kiafya imezorota.
Habari ID: 3472285 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/17
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za kueleka mashariki na kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na nchi muhimu za bara Asia ni miongoni mwa malengo ya siku zote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3472284 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/17