iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa jamii ya Rohingya wameitaka jamii ya kimataifa isikubali matamshi ya Aung San Suu Kyi, kiongozi wa chama tawala nchini Myanmar cha National League for Democracy ambaye pia ndiye Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo aliyoyatoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ.
Habari ID: 3472273    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/13

TEHRAN (IQNA) – Bunge la Seneti nchini India limepitisha muswada wa sheria ambayo inawapa uraia wahajiri kutoka Pakistan, Bangladesh na Afghanistan lakini kwa sharti kuwa wasiwe Waislamu.
Habari ID: 3472272    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/12

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha kuwa serikali ya Iran haijaghafilika hata kidogo katika kuvuruga njama za adui na vikwazo. Ameongeza kuwa, Iran itasambaratisha njama hizo za maadui kwa njia mbalimbali kukiwemo kuzidisha uzalishaji wa ndani na kufanya mazungumzo.
Habari ID: 3472271    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/11

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 15 wa Kimataifa wa Sayansi za Fiqhi umefanyika hivi karibuni katika mji mkuu wa Oman, Muscat ambapo mada kuu ilikuwa ni kuhusu maji.
Habari ID: 3472270    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/11

TEHRAN (IQNA) – Misikiti katika jimbo la Ohio nchini Marekani imetanga siku maalumu ambapo wasiokuwa Waislamu wamekaribishwa ili kupata kuufahamu Uislamu zaidi.
Habari ID: 3472269    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/11

TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa sita wa kila mwaka wa Jukwaa la Kustawisha Amani Katika Jamii za Waislamu umefanyika katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3472267    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/10

TEHRAN (IQNA) – Mahakama nchini Algeria imewahukumu vifungo vya muda mrefu jela mawaziri wakuu wawili wa zamani wa nchi hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma.
Habari ID: 3472266    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/10

TEHRAN (IQNA) Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imeanza kusikiliza kesi kuhusu mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Myanmar kufuatia shtaka ambalo limewasilishwa na Gambia.
Habari ID: 3472265    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/10

Mgombea urais nchini Algeria amesema wote waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu nchini humo watatunukiwa Shahada (digrii) ya Kwanza.
Habari ID: 3472260    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/07

TEHRAN (IQNA- Imam Hasan al Askari AS ni Imam wa 11 wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia na alizaliwa mwaka 232 Hijria mwezi 8 Mfunguo Saba Rabiuth Thani katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3472258    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/05

TEHRAN (IQNA) –Harakati ya Kiislamu Nigeria (INM) imesema hatua ya serikali ya nchi hiyo kuendelea kumshikilia Sheikh Ibrahim Zakzaky na mke wake ni ukiukwaji wa wazi wa sharia.
Habari ID: 3472255    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/04

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Ulaya na Marekani hazina azma ya kurejesha amani huko Yemen bali pande hizo zinafuatilia kuuza silaha zao.
Habari ID: 3472254    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/03

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Duru ya 26 ya Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani nchini Qatar wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Jumatatu.
Habari ID: 3472253    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/03

TEHRAN (IQNA)- Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani Jumatatu ametembelea msikiti katika mji wa Penzberg na kutoa wito wa kuwepo hali ya kuheshimiana baina ya wafuasi wa dini mbali mbali.
Habari ID: 3472252    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/03

TEHRAN (IQNA) – Adhana imesikika kwa mara ya kwanza katika msikiti mmoja mkongwe nchini kaskazini mwa Macedonia kwa mara ya kwanza baada ya miaka 107.
Habari ID: 3472251    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/02

TEHRAN (IQNA) – Timu ya watu 40 wakiwemo wakalimani na wanazuoni wa Uislamu wanatazamiwa kuanza kuandika tarjumi mpya ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kirussia.
Habari ID: 3472249    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/02

TEHRAN (IQNA) – Wanawake nchini Uzbekistan wameshiriki katika mashindano ya Qur'ani ambaye yamefanyika hivi karibuni katika mji mkuu, Tashkent.
Habari ID: 3472247    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/01

TEHRAN (IQNA) – Nakala ya kale zaidi ya Qur'ani Tukufu nchini China imewekwa katika maonyesho ya umma kwa mara ya kwanza katika mkoa wa Qinghai, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472245    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/01

Waziri Mkuu wa Malaysia
TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Malaysia Dakta Mahathir Mohammad amesema Waislamu wanapaswa kuwa na tabia njema na maadili bora ili kuwavutia wasiokuwa Waislamu katika Uislamu.
Habari ID: 3472243    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/30

TEHRAN (IQNA) – Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa wito kwa kuwepo jitihada za pamoja baina ya Russia na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) katika kukabiliana na changamoto za kimataifa.
Habari ID: 3472241    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/29