iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Siku ya Kimataifa ya Hijabu imeadhimishwa Ijumaa katika mji wa Lamu nchini Kenya huku washiriki wakitoa wito wa kuondolewa marufuku ya Hijabu shuleni nchini humo.
Habari ID: 3471828    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/03

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS iliyoko nchini Iraq imezindua Taasisi ya Qur'ani nchini Burkina Faso.
Habari ID: 3471827    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/02

Waziri Mkuu Mahathir Mohamad
TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesisitiza Jumatatu kuwa nchi yake inashikilia msimamo wake wa kuwazuia raia wa utawala haramu wa Israel kuingia nchini humo huku akiitaja Israel kuwa utawala wa kihalifu.
Habari ID: 3471824    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/29

TEHRAN (IQNA)- Hatimaye utawala wa Marekani umelazimika kumuachulia huru bila kumfugulia mashtaka mtangazaji wa Press TV, Bi. Marzieh Hashemi baada ya kumshikilia kizuizini kinyume cha sheria kwa muda wa siku 11.
Habari ID: 3471818    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/24

TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Russia, Moscow, umeanzisha mpango maalumu wa kusoma (qiraa) Qur'ani Tukufu kwa muda wa masaa 24 kila siku.
Habari ID: 3471815    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/22

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la Kimataifa la Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu limefanyika nchini Misri na kuwaleta pamoja wawakilishi wa nchi 40.
Habari ID: 3471812    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/20

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hatua ya Myanmar kuendelea Waislamu wa jamii ya Rohingya kurejea nchini humo.
Habari ID: 3471811    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/19

TEHRAN (IQNA)- Mashirika ya kutetea haki za raia nchini Marekani yamemlaani rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa kumteua mtu mwenye chuki dhidi ya Uislamu kuwa naibu mshauri wa usalama wa taifa.
Habari ID: 3471810    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/18

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza kufungua shule mpya 26 za Qur'ani Tukufu katika jimbo la El Wadi El Gedid.
Habari ID: 3471805    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/13

TEHRAN (IQNA)- Mtoto mvulana wa Kipalestina mwenye umri minane amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu miezi minane tu baada ya kuanza zoezi la kuhifadhi.
Habari ID: 3471803    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/12

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umeanza mradi wa kuwatimua wakimbizi Waislamu wa jamii wa Rohingya ambao walikimbia mateso na mauaji ya kimbari katika nchi yao ya jadi, Myanmar.
Habari ID: 3471801    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/09

TEHRAN (IQNA)- Jamii nyingi za Waislamu nchini Marekani sasa zinakumbwa na tatizo la ukosefu wa Maimamu waliohitimu wenye uwezo wa kuongeza sala, kufanya kazi na vijana na kuongoza jamii ipasavyo.
Habari ID: 3471800    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/08

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa China umepitisha sheria mpya ya kuufanya Uislamu nchini humo uendane na itikadi ya 'Usosholisti wa Kichina' katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Habari ID: 3471799    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/07

TEHRAN (IQNA)-Wakuu wa utawala wa China wamefunga misikiti mitatu katika mji wa Weishan katika mkoa wa Yunnan kusini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471795    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Palestina itaendelea kuwa taifa lenye nguvu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, katika kipindi kisicho mbali sana taifa hilo litaweza kupata ushindi wa mwisho.
Habari ID: 3471792    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/31

TEHRAN (IQNA)- Wabunge katika muungano tawala nchini Ujerumani wamesema wanatafakari kuwashurutisha Waislamu kulipa ‘Ushuru wa Msikiti’ kama ambavyo Wakristo nchini humo wanatozwa ‘Ushuru wa Kanisa’.
Habari ID: 3471789    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/28

TEHRAN (IQNA)- Akademia ya Uislamu katika Sayansi na Jamii ya Chuo Kikuu cha Goethe nchini Ujerumani imetenga bajeti ya Euro milioni 2.7 katika mradi wa kufanya utafiti kuhusu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471788    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/27

Ayatullah Sayyid Mahmoud Hashemi Shahroudi, mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Iran ameaga dunia baada ya umri uliojaa baraka.
Habari ID: 3471785    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/25

TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika mji wa Liverpool nchini Uingereza wanagawa misaada ya chakula kwa watu ambao hawana chakula katika kipindi cha Krismasi ambacho huandamana na baridi kali mjini humo.
Habari ID: 3471784    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/23

TEHRAN (IQNA)-Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kutenga bajeti ya Euro Milioni 10 kwa ajili ya utafiti wa kina kuhusu namna Qur'ani Tukufu imeathiri utamaduni wa Ulaya.
Habari ID: 3471780    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/21